Huu ndio ukweli niliouona leo mitaa yote nchini Tanzania, Nane nane imefunikwa kabisa na Tamasha la Simba, linalofanyika DSM.
Sasa ni dhahiri kwamba Wananchi wamezichoka kabisa porojo za...
Zamani nilijua ni kwa sababu za kiusalama lakini baada ya kuiona dhamira njema iliyopo awamu hii ya SITA, siioni sababu ya Tundu Lissu kuendelea kuzurula Ubelgiji. Ni utumwa wa kifikra kudhani...
Habari Wakuu!
Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu...
Kwa kuteuliwa upya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera baada ya kukaa benchi zaidi ya mwaka, Chalamila hana budi kumshukuru mungu na kuitumia fursa hii ya kipekee.
Akiboronga amekwisha lakini akichapa...
Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na...
Kuna Kiongozi Kaisifia CCM kuwa Iliweka HISTORIA ya Kushinda Chaguzi za Mwaka 2019 za Serikali ya Mitaa na Mwaka 2020 Uchaguzi Mkuu
Naomba nimkumbushe tu DUNIA nzima na WATANZANIA wote hata...
Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na...
Habari!
Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili?
Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Taarifa mpya ni kwamba Siku Rais wa JMT mh.Samia S.Hassan atashuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji yenye ukubwa wa hekta 95,000 wenye...
Hapana shaka siasa za upinzani kuelekea zimepoteza matairi ya kukimbilia.
Hali hii inajihirisha baada ya ukimya wa Mbowe, Lissu na Mnyika kwenye mambo mbali mbali mtambuka yanayoendelea katika...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa...
..kuna mambo CCM wamekatazwa kuyajadili. Tatizo wanataka kulazimisha Watanzania wote wawe kama wao.
..fuatilia hoja za Mch.Mtikila na jinsi Mwenyekiti wa Bunge Maalum Samuel Sitta alivyopatwa na...
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo
Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe...
Rais Samia amesema uchaguzi mkuu ukikamilika ma mshindi kupatikana basi mambo ya Siasa yanawekwa pembeni na chama tawala linamuunga na Serikali kuwaletea Wananchi maendeleo
Ni wakati huo...
Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba...
Udikteta siyo mbaya kama wengi wanavyofikiria bali mtu ndio anaweza kuwa mbaya ndani ya nafsi yake. Mwaka 2015 Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe alitumia falsafa ya udikteta na kumleta Komredi...
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye...
Hivi hili kundi la m23 limetoka wapi hasa?
Na kiongozi wao mkubwa ni nani?
Na silaha nzito wanatowa wapi?
Haya ni maswali ambayo na jiuliza Sipati jibu.
Leo hii hawa M23 wamekuwa wakifanya...
Nakumbuka ziara moja ya hayati Magufuli mkoani Mbeya wakati Sugu akiwa mbunge, Shujaa alimpa kipaza sauti mbunge ili asalimie Wananchi basi Sugu akapanda kwenye gari ya Shujaa na moja kwa moja...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.