Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa...
Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya...
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili...
Na Kevin Lameck
Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).
Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga...
Tuna wakuu wa wilaya wapya, tuna wakurugenzi wapya lakini tuna wakuu wa idara ambao bado wapo kwenye mfumo uleule wa upigaji. Walikuwa wanawakandamiza wananchi na wanahujumu miradi ya maendeleo...
Serikali ya Tanzania inakusudia kuongeza kasi na kiwango cha uzalishaji wa mbegu za mafuta ya kula ili kuviwezesha viwanda vya ndani kuzalisha bidhaa hiyo itakayosaidia kuokoa fedha zinazotumika...
This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Malima amevunja kamati ya Ujenzi wa Jengo la abiria baada ya kubainika kuna ufisadi wa kutisha
Malima ameitaka Takukuru kufanya uchunguzi wa kina na kuchukua hatua za...
Makamanda People's!
Kuanzia sasa kuna miaka 2 kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji, pia kuna miaka 3 kuelekea uchaguzi mkuu.
Nashauri yafuatayo yafanyiwe kazi;
(1) Mfumo wa ujenzi wa...
Katika mkutano wake wa kwanza wa kumkaribisha alipewa ripoti kwamba Jiji la Mwanza lina Mgao wa Maji kwa sababu.pampu moja ni mbovu
Kuanza kibarua huku Wananchi wa Nyamagana na Kirumba hawana...
Kazi iendelee!
Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu...
Habari zenu wadau.
Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la...
Rwanda to launch satellite constellation by end of 2023
Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe...
Wandugu nawashangaa hawa wananchi wanaotembelewa na Raisi Samia siwasikii wakieleza kero zao wamesimama tu kama makatuni flani hivi,hawajielewi au wametishwa.
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.
Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe...
Jana Jeshi la Urusi wamerusha video kuonesha limefanikiwa kuidungua Helicopter iliyokua na Mamluki wavita Yao na UKRAINE ndani ya jiji la MARIUPOL ambako mapigano makali bado yanaendelea...
Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea...
USULI
Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.