Mzee Msuya: Chadema ina Watu wenye uwezo mkubwa kifikra na kujenga Hoja na CCM bado ina mizigo kama alivyosema Kinana, warekebishe hili

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,445
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto

Mzee Msuya ambaye ni waziri mkuu mstaafu anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja

Kuhusu CCM Mzee Msuya anasema bado ina udhaifu katika kujenga Hoja na kuaddress mambo kwa Wananchi yaani bado ina mizigo kama alivyosema Kinana so inawapasa kujitazama vizuri

Source ITV
 
Anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyo, embu Mtaje Hata Kiongozi Mmoja tu Wa CDM Mwenye Fikra hapo CDM.....!

Haiwezekani Fuel shing' elfu kumi Eti unapata 2 L , CCM ipo kimya.. Na CDM Viongozi wote WameMyuti.... Kama hawapo afu utuambie Eti kuna MTU au Kiongozi ana Fikra...Fikra hizo vipiiii..?
 
Tatizo hata yeye analijua ndio maana pamoja na madhila yote aliyoiletea nchi mwendazake hakuthubutu kufungua mdomo kuleta mawazo mbadala.

Huwezi kuwa na critical thinking mbele ya mwenyekiti wa CCM ambaye ni breadwinner.

CHADEMA wanahoja nzuri kwakuwa tu Mwenyekiti wa CCM is not their breadwinner at all.
 
..Mwenyekiti wa Ccm, Samia Suluhu hawezi kusimama kwa hoja dhidi ya wenyeviti wa vyama vya upinzani kama Prof.Lipumba, Babu Juma Duni, na Freeman Mbowe.

..Mama Samia hawezi kushindana na hao ktk uwanja ulio huru wa kisiasa. Ni lazima abebwe kwa mbeleko ya uraisi.

..Na kwasababu mwenyekiti yuko HOI basi anawaambukiza hata viongozi wa chini yake.
 
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto

Mzee Msuya anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja

Kuhusu CCM Mzee Msuya anasema bado ina udhaifu katika kujenga Hoja na kuaddress mambo kwa Wananchi yaani bado ina mizigo kama alivyosema Kinana so inawapasa kujitazama vizuri

Source ITV

..Ccm haijafanya siasa kwa muda mrefu.

..wamekuwa wakitumia mahakama, tume ya uchaguzi, na polisi, kupambana na wapinzani.

..matokeo yake ndiyo hayo aliyoyaona Mzee Msuya.
 
Ukweli mchungu Samia anakosa ule mvuto wa kisiasa na hii ni kutokana na uwezo mdogo alio nao ,hii nchi imekuwa dipshit sababu ya cupidity manner ya viongozi kadhaa
 
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto

Mzee Msuya anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja

Kuhusu CCM Mzee Msuya anasema bado ina udhaifu katika kujenga Hoja na kuaddress mambo kwa Wananchi yaani bado ina mizigo kama alivyosema Kinana so inawapasa kujitazama vizuri

Source ITV

Ngoja waje
 
Mzee Msuya anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja
Huyu mzee anahitaji kuji-reboot na kuji-update maana inaonekana bado kichwani mwake ana chadema ile ya Dr Slaa, hajui kwamba hii ya sasa hivi ni mdebwedo na hakuna chochote cha maana.

Mlio karibu naye, please, mjulisheni kwamba chamba chadema ya sasa imeshapikuliwa na Chama cha umoja (hakijasajiliwa) na act wazalendo. Yani sasa hivi imebaki magalasa tu.
 
Tatizo hata yeye analijua ndio maana pamoja na madhila yote aliyoiletea nchi mwendazake hakuthubutu kufungua mdomo kuleta mawazo mbadala.

Huwezi kuwa na critical thinking mbele ya mwenyekiti wa CCM ambaye ni breadwinner.

CHADEMA wanahoja nzuri kwakuwa tu Mwenyekiti wa CCM is not their breadwinner at all.
Kama Huna hoja ni vyema ukakaa kimya , utaheshimika
 
Huyu mzee anahitaji kuji-reboot na kuji-update maana inaonekana bado kichwani mwake ana chadema ile ya Dr Slaa, hajui kwamba hii ya sasa hivi ni mdebwedo na hakuna chochote cha maana.
Mlio karibu naye, please, mjulisheni kwamba chamba chadema ya sasa imeshapikuliwa na Chama cha umoja (hakijasajiliwa) na act wazalendo. Yani sasa hivi imebaki magalasa tu.
Tatizo la chadema ni kuwa wamenunulika kirahisi safari hii. Ndiyo maana Tundu Lissu ameuziba mdomo. Asali mbaya
 
Chadema ni chama kinachogusa matakwa ya watu, hivyo lazima kisifiwe na wenye akili.

Lumumba watabisha.
 
Anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyo, embu Mtaje Hata Kiongozi Mmoja tu Wa CDM Mwenye Fikra hapo CDM.....!

Haiwezekani Fuel shing' elfu kumi Eti unapata 2 L , CCM ipo kimya.. Na CDM Viongozi wote WameMyuti.... Kama hawapo afu utuambie Eti kuna MTU au Kiongozi ana Fikra...Fikra hizo vipiiii..?
Andika kiswahili kinachoeleweka, inawezekana unayohoja ila haueleweki ulichokiandika.
 
Ni katika Kipindi cha Dakila 45 ITV, hakika mambo ni moto

Mzee Msuya anasema Chadema bado ina Watu makini na Wenje uwezo mkubwa wa kujenga Hoja

Kuhusu CCM Mzee Msuya anasema bado ina udhaifu katika kujenga Hoja na kuaddress mambo kwa Wananchi yaani bado ina mizigo kama alivyosema Kinana so inawapasa kujitazama vizuri

Source ITV
Sasa Jo Huwa nikawaida Yako kuwaonea wivu Chadema,hata Kwa Hilo Bado utawaonea wivu,na kusema hawana watu makini🚶
 
Back
Top Bottom