Nape Nnauye ni nani haswa Tanzania?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Apr 29, 2022
1,371
3,146
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?

Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa.

Alipofyekwa na kuondolewa serikalini katika kipindi cha Magufuli, alionekana kujawa na ghadhabu pamoja na gubu kali lililopelekea kuunda genge la kumzodoa Rais wa nchi kwa masengenyo na umbea.

Ni kama vile anaamini yeye ni mtu mwenye sifa spesheli nchini ambaye anastahili kupewa madaraka ya kisiasa wakati wote.

Haamini kama yeye ni mtu wa kawaida kama watu wengine. Anaamini kuna kanafasi fulani nchini ambacho kapo kwa ajili yake siku zote katika hali yoyote.

Nataka kumjua vizuri huyu Nape.

Ametoka wapi? Chimbuko lake ni wapi?

Na kwanini siku zote anaamini ana nafasi spesheli kwenye hii nchi?

Nilisikia babaye alikuwa askari kanzu enzi hizo jeshini. Baadaye akadandia dandia ngazi akawa mwanasiasa.

Tofauti na unasibu huo na babaye, sijafahamu haswa huyu Nape kwanini anafikiri ana nafasi muhimu sana?
 
Nafikiri tayari unamfahanu na pia umenisaidia kimfahamu,mwenye nyoongeza tasafali na subiria kimfahamu zaidi.
 
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?

Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa.

Alipofyekwa na kuondolewa serikalini katika kipindi cha Magufuli, alionekana kujawa na ghadhabu pamoja na gubu kali lililopelekea kuunda genge la kumzodoa Rais wa nchi kwa masengenyo na umbea.

Ni kama vile anaamini yeye ni mtu mwenye sifa spesheli nchini ambaye anastahili kupewa madaraka ya kisiasa wakati wote.

Haamini kama yeye ni mtu wa kawaida kama watu wengine. Anaamini kuna kanafasi fulani nchini ambacho kapo kwa ajili yake siku zote katika hali yoyote.

Nataka kumjua vizuri huyu Nape.

Ametoka wapi? Chimbuko lake ni wapi?

Na kwanini siku zote anaamini ana nafasi spesheli kwenye hii nchi?

Nilisikia babaye alikuwa askari kanzu enzi hizo jeshini. Baadaye akadandia dandia ngazi akawa mwanasiasa.

Tofauti na unasibu huo na babaye, sijafahamu haswa huyu Nape kwanini anafikiri ana nafasi muhimu sana?
Nape mtu wa kawaida kama wengine? Unaifahamu CCM wewe? Muulize nape akutajie kiasi cha hisa zake ndani ya chama kama hujajikuta ukimuamkia “shikamoo boss”😅
 
Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo?

Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa.

Alipofyekwa na kuondolewa serikalini katika kipindi cha Magufuli, alionekana kujawa na ghadhabu pamoja na gubu kali lililopelekea kuunda genge la kumzodoa Rais wa nchi kwa masengenyo na umbea.

Ni kama vile anaamini yeye ni mtu mwenye sifa spesheli nchini ambaye anastahili kupewa madaraka ya kisiasa wakati wote.

Haamini kama yeye ni mtu wa kawaida kama watu wengine. Anaamini kuna kanafasi fulani nchini ambacho kapo kwa ajili yake siku zote katika hali yoyote.

Nataka kumjua vizuri huyu Nape.

Ametoka wapi? Chimbuko lake ni wapi?

Na kwanini siku zote anaamini ana nafasi spesheli kwenye hii nchi?

Nilisikia babaye alikuwa askari kanzu enzi hizo jeshini. Baadaye akadandia dandia ngazi akawa mwanasiasa.

Tofauti na unasibu huo na babaye, sijafahamu haswa huyu Nape kwanini anafikiri ana nafasi muhimu sana?
Sema umeandika kinazi sana, umeandika kama tayari una majibu yako alafu unataka sisi tuyaunge mkono, hizo ni tabia za Facebook. Kama unajua alikuwa kiongozi akatumbuliwa akarudi tena, unajua baba yake alikuwa askari unataka sisi tukuongezee nini tena?
 
Anataka na sisi tuchangie kumponda, sijui tumtoe madarakani, sijui tumfanyeje ht huwa simwelewi huyu jamaa kama huwa anataka nini hasa!
Kutwa kucha kuloloma, sijui ndo mjane mwenyewe alofiwa kule Chaaattle...
 
Back
Top Bottom