Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia...
0 Reactions
3 Replies
206 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
0 Reactions
7 Replies
276 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari...
1 Reactions
3 Replies
230 Views
Wakili Peter Madeleka akizungumzia ripoti ya Jaji Chande, amesema kuwa tume hiyo haikuwa na mamlaka yoyote kisheria kumwamrisha pathologist kwenda kuchunguza vifo vya wanaodhaniwa kufa kwa...
6 Reactions
7 Replies
317 Views
Ripoti Tume ya Samia chini ya uenyekiti wa "Jaji Mstaafu" Othman Chande is full of self - contradictory statements and statistics of the number of deaths Tunamshukuru Mungu wa mbinguni sana ktk...
7 Reactions
17 Replies
467 Views
Nimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti...
2 Reactions
16 Replies
239 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres anatarajiwa kumaliza muda wake kama Katibu Mkuu wa tisa aliyeliongoza Shirika la Umoja wa Mataifa kwa miongo miwili, hadi hapo Desemba 31 mwaka...
0 Reactions
3 Replies
181 Views
Wakuu, Mwenye ujuzi na ufahamu wa namna Serikali au sisi kama nchi kwa ujumla wake tunanufaika na kufungiwa kwa mitandao kama X, JamiiForums, Telegram nk aseme huenda wanastahili pongezi kwa...
8 Reactions
15 Replies
264 Views
Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Jaji mkuu Mstaafu Ibrahim Juma ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026
0 Reactions
0 Replies
134 Views
  • Redirect
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum...
0 Reactions
Replies
Views
"kua tajiri ni sanaa hakuhitaji phd" -kidole baada ya nukuu hapo juu kutoka kwangu niwasalimie wote wana JF haswa wa jukwaa hili pendwa la siasa taifa letu limefikia hatua muhimu sana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
1 Reactions
5 Replies
234 Views
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matumizi ya nguvu na polisi yalifuata kanuni za PLAN: Uwiano, Uhalali, Uwajibikaji na Ulazima. Katika sehemu nyingi, hatua za awali kama ilani na mabomu ya machozi zilitumiwa kabla ya kutumia...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Kwa maoni yangu utaratibu huu wa Sasa ulioanzishwa hauko sawa,nitatoa sababu. 1.Inamdogesha Waziri Mkuu. Yaani inakuaje Ofisi ya Waziri Mkuu Ina Mawaziri 3,manaibu 7 na Makatibu Wakuu na Manaibu...
5 Reactions
32 Replies
468 Views
Back
Top Bottom