Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu...
5 Reactions
12 Replies
373 Views
WAZIRI KOMBO ATETA NA BALOZI MKINGULE, AMHIMIZA KUIMARISHA MAHUSIANO YA TANZANIA NA CUBA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
"Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi...
3 Reactions
35 Replies
496 Views
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Asasi za Kiraia (AZAKI) zimetoa uchambuzi wa awali wa ripoti ya Tume ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Wametaka...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na...
6 Reactions
36 Replies
928 Views
Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism...
3 Reactions
19 Replies
360 Views
Kupitia ukurasa wa LHRC wamechapisha taarifa hii; Asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu tuna jukumu kubwa katika jamii la kulinda na kutetea haki za binadamu, pamoja na kufuatilia...
2 Reactions
3 Replies
228 Views
Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo leo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025
3 Reactions
5 Replies
309 Views
Anaandika John Heche kwenye ukurasa wake wa X: Kama kuna mtu alikua hajui kwanini serikali hii haiwajali Watanzania, Kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu wanatekwa, wanauwawa, kama kuna mtu...
7 Reactions
22 Replies
844 Views
Ramadhani Mwampamba Mkazi wa Tundujma: Vijana walikua wanataka haki na amani, kati ya haki na amani cha muhimu ni amani Kaka, vyote ni muhimu lakini cha msingi zaidi ni amani. Mimi nawaambia kuwa...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Namtoa Lissu pekee kapitia Mengi labda kafungwa na hasira na wanashindwa kuja na ajenda zenye kufanya chama kibebe maono ya taifa. Ukimya wa chadema kuelekea Mei mosi. Siku ya wafanyakazi. Naona...
-1 Reactions
8 Replies
212 Views
Mwananchi: Mmetumwa na Mungu au Serikali, Kofia mliojitambulisha ni kofia ya viogozi wa dini maana yake mmetumwa na Mungu je, kama na Mungu kwa nini mnakuja wakati huu amabo amambo yameharibika...
4 Reactions
4 Replies
320 Views
Waziri wa Madini Anthony Mavunde, akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma leo Aprili 27,2026 “Hadi kufikia Machi 2026...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
  • Redirect
Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano: Rais Atoa Msamaha kwa Wafungwa 1,369 Katika kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Rais ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 1,369. Kati...
1 Reactions
Replies
Views
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo...
7 Reactions
20 Replies
379 Views
Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni...
0 Reactions
10 Replies
237 Views
Back
Top Bottom