kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,878
"kua tajiri ni sanaa hakuhitaji phd"
-kidole
baada ya nukuu hapo juu kutoka kwangu niwasalimie wote wana JF haswa wa jukwaa hili pendwa la siasa
taifa letu limefikia hatua muhimu sana katika ukuaji wa uchumi,
ugunduzi wa gesi na mafuta umefanya taifa letu kua na fursa nyingi sana kuliko kipindi chochote cha maisha ya taifa hili
kitabia watanzania walio wengi sio wajasilia mali na hili linadhihirishwa na idadi ya watanzania wachache tu walio ma milionea (in terms of US dollar) ambao si zaid ya asilimia 1( kma una data tofauti am more than happy to be corrected)
ikumbukwe biashara haihitaji degree zaid inahitaji tu common sense na creativity (33% ya matajiri 100 wakubwa zaid dunian ni college dropouts)
sasa point yangu ni kwamba richa ya fursa nyingi nizionazo leo tanzania zikichagizwa na hii ya gesi sion watanzania wakinufaika nayo mana wanatarajia zaid serikali ambayo inaongozwa na academics na watu wasiojua biashara ku negotiate na wafanyabiashara then waletee wananchi maendeleo
hii ni nearly imposible ni sawa na matumla kuzipiga na May wether lazima atapigwa tu
watanzania wengi ambao tumetokea katika ujima baadae ujamaa tuliaminishwa kua tajir hata ingia mbinguni na kua na mali nyingi ni ufisadi hivyo tumetokea kutopenda watu wenye utajir mifano ni mingi
hii inaathir hata muda wa kuchagua viongozi
yule kiongoz ambae anaonekana hohehahe ndio anaonekana anafaa na yule ambaae anaelewa sanaa ya kupata pesa na kua tajir anaonekana mwiz na fisadi
hii imepelekea serikali yetu kuongozwa na watu maskin wasiojua kutafuta hela na badala yake wanahisi kukusanya kodi zaid ndio suruhisho kumbe kodi inazid waumia hohehahe wenzake waliompa kura
sio kosa lao tatizo ni kukosa sanaa ya kutafuta pesa
wakienda negotiate na wafanya biashra wa kimataifa wana kula za uso
ivo basi watanzania wenzangu waungwana walisema ukikaa karibu na ua warid lazima utanukia na ndege wafananao ndio wanaoruk pamoja
sasa mtakua mnajiuliza namanisha nini
albert einstein aliwah sema ujinga ni kurudia kitu kile kile mara nyingi
ivo watanzania tusirudie makosa yale yale tuliofanya 30 iliyo pita kwa kuchagua marais wasomi lakin wasiojua sanaa hii ya kutafuta pesa tutaendelea kua maskina hadi mwisho wa dunia
mtu sahihi wa kututoa kwenye ufukara huu si mwingine bali ni mzee wetu edo
edo naturally ni mjasiliamali na mfanya biashara kma ujuavyo tabia ya wafanya biashara ni kutafuta faida kwanza mambo mengine baadae ebu tumpe nchi atuambukize watanzania wengi tusiojua kusaka hela
tunajua wote msingi wa maisha mazuri ni kua na pesa wala sio degree
mana hata shule tunaenda kusoma uli tupate kazi nzuri tutakazolipwa hela nzuri
wote ni mashahid jinsi gani serikali yetu inapelekeshwa na wafanya biashara ambao wengi wao ni matajir sababu tu serikali inaendeshwa na academics wasio na ujuzi wowote wa kibiashara wana kua knocked out mara zote ikifika muda wa kutetea maslahi ya upande husika
nawasilisha mode usiunganishe uzi huu na wowote ule
mawazo yangu yame base kwenye mlengo wa kibiashara foctor nyingine zote zina remain constant