Jaji Juma: Uhuru wa Tume hautegemei ni nani au nani alikuwa anafanya kazi gani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,927
Reaction score
2,952
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.

Pumbavu kabisa hawa wazee.
 
Hivi wakitaka kujibu maoni yote ya mitandaoni watachukua muda gani na kwa gharama za nani
 
Kodi zetu zinachezewa kingese mno.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom