Matumizi ya Nguvu Polisi: Kanuni za PLAN

Matumizi ya Nguvu Polisi: Kanuni za PLAN

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
264
Reaction score
239
Matumizi ya nguvu na polisi yalifuata kanuni za PLAN: Uwiano, Uhalali, Uwajibikaji na Ulazima. Katika sehemu nyingi, hatua za awali kama ilani na mabomu ya machozi zilitumiwa kabla ya kutumia silaha kali pale ambapo maisha yalikuwa hatarini #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli
IMG-20260427-WA0120.jpg
 
Polisi, usalama wa taifa na jeshi vilikuwa wapi kupata hizi taarifa kabla!?
 
Back
Top Bottom