Pre GE2025 Dodoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,986
13,763
1726488956640.jpeg
Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310.

Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni makao makuu ya serikali, ambapo bunge na ofisi nyingi za kitaifa zipo.

Idadi ya Watu

Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Dodoma una jumla ya watu 3,085,625. Idadi hii inajumuisha wanaume na wanawake kwa uwiano ufuatao:
  • Wanaume:1,512,760
  • Wanawake: 1,572,865
Mkoa wa Dodoma una jumla ya Wilaya 8.

SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkoa wa Dodoma una jumla ya Majimbo 10 ya kiuchaguzi yaliyogawanyika katika wilaya 8, Majimbo hayo ni:
  • Kondoa
  • Kondoa Mjini
  • Mpwapwa
  • Kibakwe
  • Kongwa
  • Chamwino
  • Mvumi
  • Dodoma Mjini
  • Bahi
  • Chemba

Hali ya Kisiasa Mkoani Dodoma kulingana na uchaguzi Mkuu uliopita, 2020
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, CCM ilishinda viti vyote vya ubunge Mkoani Dodoma, hasa kutokana na vyama vya upinzani kujitoa katika mchakato huo wakilalamikia mazingira yasiyokuwa ya haki na wengine kuonekana fomu zao zilikuwa hazikidhi vigezo vya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi kutokana na kuonekana zina makosa kwenye ujazaji wa fomu hizo. Hii ilisababisha CCM kushinda kwa asilimia 100 ya nafasi za wabunge.

Kwa upande wa Nafasi ya Urais CCM ilishinda nafasi hiyo kupitia Mgombe wake Hayati John Pombe Magufuli ambaye alishika nafasi hiyo mpaka mwaka 2021 ambapo Alifariki Dunia na kisha nafasi ya Urais kushikwa na aliyekuwa Makamu, Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma
Januari

  1. Uchaguzi 2025 - Msafara wa Rais Samia kuongozwa na pikipiki za CCM, ni sawa Polisi kutumika kwa shughuli za chama?
  2. Uchaguzi 2025 - Msafara wa Rais Samia kuongozwa na pikipiki za CCM, ni sawa Polisi kutumika kwa shughuli za chama?
  3. Uchaguzi 2025 - Rais Samia awakemea walioanza kampeni kabla ya muda, asema kuna ushahidi. Msajili wa vyama haya huyaoni?
  4. Uchaguzi 2025 - Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
  5. Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
  6. Uchaguzi 2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo
  7. Uchaguzi 2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
  8. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma: Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCM 05 Februari, 2025 kutakuwa na uji bure kwa wananchi
  9. Wasira: Vibaraka wao wa nje ya Tanzania wanataka kutuletea Ushoga, adai wameshindwa kutuondoa wanataka kutuua
  10. Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025
  11. Timu za mpira zinafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Ndio malipo ya 'Goli la Mama

February

March
  1. Pre GE2025 - Kongwa, Dodoma: TASAF yakabidhi nyumba za walimushule ya sekondari Chitego
  2. Shamira Mshangama atoa mchango wa tofali na saruji kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Dodoma
  3. Pre GE2025 - UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume
  4. Pre GE2025 - UVCCM imejipanga kujibu mapigo kwa hoja kuelekea uchaguzi
  5. Kamati ya Siasa CCM Dodoma yataka kukamilishwa kwa wakati kwa hosteli ya Sekondari Mbalawala
  6. Pre GE2025 - DODOMA: Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM
  7. UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania
  8. Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani
  9. Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma
  10. Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu
  11. CCM waweka ukomo nafasi za ubunge na udiwani viti maalum, waja na kauli mbiu mpya
  12. Pre GE2025 - Mwanyemba: Wanaoisaliti CCM ni wanachama wake
  13. Pre GE2025 - Madiwani wapendekeza jimbo la Dodoma mjini ligawanywe
  14. Mwenyekiti UVCCM Dodoma awahimiza Vijana kujitokeza kugombea na kupiga Kura
  15. Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia
  16. Pre GE2025 - Simbachawene akutana na Walimu Wasio na Ajira, aelekekeza Kamati iundwe
  17. TCRA yataka Vyombo vya Habari kuripotiwa uchaguzi bila upendeleo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom