Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions...
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Nimejiuliza sana sijapata majibu maana hii ni mpya kumuona Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kavaa sare za Polisi hasa kuona sare hizi ameziandika UVCCM huku akijua sio rangi za chama cha...
5 Reactions
119 Replies
20K Views
VIDEO. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizindua mpango wa ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Waajiri, katika hafla iliyofanyika Kituo cha...
2 Reactions
1 Replies
211 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu...
18 Reactions
58 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini...
1 Reactions
6 Replies
330 Views
SHIRIKISHO la vyama huru vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ambao ni waandaaji wa sherehe za wafanyakazi kitaifa (MEI MOSI), wamesema sherehe za Mei Mosi mwaka huu zitakazofanyika...
32 Reactions
1K Replies
176K Views
Sasa ni dhahiri kuwa, kuanzia mwezi Aprili katika mapumziko ya Pasaka, Mkuu wetu atakuwa na uhakika wa kwenda mapumzikoni kwa kutumia uwanja wa ndege mpya wa Chato, yaani Chato Airport. Kwa sasa...
141 Reactions
464 Replies
73K Views
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe ameandika haya katika mtandao wa FaceBook NASIKIA WAJALUO WANASUBIRI.. Iko hivi: Siwezi kusema kuwa NI NZURI au ni MBAYA maana siyo yetu...
5 Reactions
9 Replies
364 Views
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama...
6 Reactions
9 Replies
366 Views
Nash MC(Maalimu) awakumbuka wote waliokufa 29.10.2025. Sasa ujumbe ushahifadhiwa.. Tutahakikisha walioua wote hawalali kwa Amani.. Damu za watoto wetu zinawalilia.. Damu zimegoma kukauka...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Taasisi za mikopo ya mauzo nje za Sweden (Sweden’s export-credit institutions) zinatarajiwa kukamilisha makubaliano ya ufadhili kwa sehemu za tatu na nne (Lots 3 na 4) za reli ya kisasa ya...
1 Reactions
12 Replies
457 Views
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameandika historia ya aina yake kwenda Dodoma kufanya ziara, ambapo ametumia njia ya barabara na kufanya mikutano kadhaa katika mikoa yote ya njiani ya Pwani na...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole...
1 Reactions
5 Replies
261 Views
Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
7 Reactions
84 Replies
4K Views
NIMESOMA mtandaoni andiko la mwanasheria Mkuu wa Chama Cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wakili msomi na DR. Rugemeleza Nshalla (PhD) Katika andiko lake mitandaoni DR.Rugemeleza sababu (11)...
0 Reactions
15 Replies
404 Views
Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande...
2 Reactions
9 Replies
345 Views
Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo...
3 Reactions
27 Replies
332 Views
Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu...
5 Reactions
12 Replies
373 Views
Back
Top Bottom