Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UCHAGUZI WA MWAKA HUU UNA PANDE MBILI 1. Kuchagua Maendeleo ya Watu na Vitu Kama ilivyoelezwa kwenye ilani ya CCM, ama Kuchagua Unyonyaji wa raslimali zetu kupitia kwa wakala wa mabeberu kama...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana. Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya...
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo...
10 Reactions
112 Replies
11K Views
KURA YANGU KWA JOHN POMBE MAGUFULI,TAREHE 28 OKTOBA. Leo 09:30hrs 25/10/2020 Ni John Pombe Magufuli mwenye ridhaa ya Wananchi wa Tanzania, kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Freeman Mbowe amedai kuna Uvurugwaji Mkubwa wa daftari la wapiga kura. Ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba, kuna Mamilioni ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa upande wangu mimi ni kuzuia mambo ya siasa mikutano ya hadhara na kukubali kuwapokea mashehe wa uamsho kutoka Zanzibar waletwe huku Tanganyika, hivi mheshimiwa hawezi kujua mambo ya uwongo na...
3 Reactions
93 Replies
7K Views
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa...
60 Reactions
121 Replies
10K Views
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina...
7 Reactions
76 Replies
7K Views
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema kwa miaka mitano ijayo wakipata ridhaa kutoka kwa wananchi watakata bima ya afya kwa kila Mwananchi...
2 Reactions
113 Replies
10K Views
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu. Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF KILWA KUSINI-KIVINJE Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote! Haki ya Elimu...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
21/10/2020 Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Kivukoni, Ilala CBD, 1 Shabaani Robert Str., 11101 Dar Es Salaam, S. L. P 63010, Tanzania. info@orpp.go.tz Mheshimiwa Msajili, YAH: UKIUKWAJI...
10 Reactions
324 Replies
27K Views
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100 Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee Magufuli hali mbaya sana. Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote ni fadhila. Wananchi...
4 Reactions
61 Replies
5K Views
Nawaonea huruma wapuuzi wanaohangaika wakijitahidi kuzuia Tsunami kwa mikono, Mh. Tundu Antiphas Lissu hamtamweza, Ni YEYE mpende msipende na ole wenu msipochukua tahadhari, mtasombwa na maji...
28 Reactions
75 Replies
7K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo...
54 Reactions
186 Replies
18K Views
Back
Top Bottom