kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,629
- 5,134
Ni jambo la kushangaza sana kwangu. Sijasikia popote akilaumu uvunjwaji wa haki za watu yanayofanywa na vikundi vya watu wasiojulikana.
Sijamsikia akikemea unambikiaji watu kesi kwa mashitaka ya uongo
Sijamsikia akikemea manyanyaso kwa waandishi wa habari hata kuonesha sympathy ya wandishi waliopotea wakiwa kazini au kuahidi kurudisha Uhuru halisi wa vyombo vya habari.
Ninachokisikia ni msipo nichagua sileti hiki sileti kile .
Sioni matumaini yoyote ya ustawi na Uhuru wa watu toka kwa mgombea wa CCM.