Raha ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hakuna mwenye uhakika wa kushinda watu wanamenyana kweli kweli

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,

Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.

Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.

Tubadilike
 
Unajidanganya mkuu.

Pale wote wanajua anayeshinda nani.

Kauli ya Rais ni kama amri na Tayari ameshachagua upande sasa sijui unadhani mshindi hafahamiki tayari.
 
Tanzania ni ya mafedhuli. Nimeshuhudia kwa macho yangu CCM inawachangisha wauza gongo na dawa za kulevya, vibaka na matapeli wa Town kwa ajili ya kampeni zao za uchaguzi.
We fikiria kura za kizanzibari zilivyochakachuliwa bila ya aibu.
Wakenya hatuwawezi kwasababu wanakwenda shule. Tunahitaji miaka mingine 250 kuwafikia. Tanzania ni nchi ya vipofu
 
Tanzania ni ya mafedhuli. Nimeshuhudia kwa macho yang, CCM inawachangisha wauza gongo na dawa za kulevya, vibaka na matapeli wa Town kwa ajili ya kamponi zao za uchaguzi.
We fikiria kura za kizanzibari zilivyochakachuliwa bila ya aibu.
Wakenya hatuwawezi kwasababu wanakwenda shule. Tunahitaji miaka mingine 50 kuwafikia. Tanzania ni nchi ya vipofu
Umenikumbusha Kuna mwamba Mmoja Zanzibar wa act ,alikung'ukutwa haswaaa.alivilia mwili mzima hakuna pa kushika ,akaenda kutibiwa Kenya .aliporudi akapewa kuwa waziri wa afta yupo kimya kama sio yule ,siasa yetu imetawaliwa na njaa
 
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,

Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.

Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.

Tubadilike

Bila machafuko hapa Tanzania tutaendelea kuongozwa na CCM kwa shuruti hivi hivi. Huko Kenya machafuko ndio yalileta kuheshimiana.
 
..kweli kabisa.

..raha ya kampeni na uchaguzi ni vyama kutokuwa na uhakika wa kushinda.

..Na bunge zuri ni lile ambalo maamuzi yake yanaamuliwa kwa kura za vyama viwili au zaidi.

..Bunge halipaswi kuwa dominated na chama kimoja kinachoweza kupitisha miswada na sheria bila kushawishi vyama vingine.
 
Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,

Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha wamenyane kidume apatikane kwenye sanduku la kura.

Sijasikia vitisho vya ajabu ajabu. Ruto alianza kufanya mikutano yake nchi nzima mwaka Jana. Na Sasa Jumanne kura zitapigwa, hakuna mwenye uhakika na ushindi, wote wanapresha.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya bwana chebukati anasubiriwa amtangaze hakuna ajuaye mshindi atakuwa nani.

Tubadilike
UHURU si ana miliki mahakama, polisi, jeshi a usalama wa taifa wa kenya?
 
Maombi yangu ni kuwa msianze kuchinjana baada ya matokeo kutangazwa. Uhai wa mwanadamu una thamani machoni pa Mungu. Mungu awasaidie mmalize kwa amani.
 
Back
Top Bottom