Kumbe makarani wa Sensa hamjalipwa hata Senti tano mpaka leo

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa litajengwa na watu wenye moyo.

Tunakumbushana tuu kuwa pamoja na kuwa wakati wa Magufuli tuliambiwa uchumi ulikuwa mzuri hadi Serikali ikawa haikopi kwa kuwa ilikuwa pesa nyingi lakini waliosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 hawajalipwa pesa zao mpaka hivi leo. Walilipwa awamu moja tuu kishika uchumba na pesa iliyobakia nyingi wamepigwa.

Lakini pia waliofanya zoezi la anuani za makazi nao pia naona machozi yao yakitiririka mpaka miguuni. Ukiacha hao Kuna wastaafu kibao wanasotea mafao yao mpaka hivi leo hii wanalia machozi ya damu na jasho wanaambiwa mchakato hazina bado.

Tupige kazi jamani huku tukilamba asali kwa wembe. Mambo ni mengi ila muda ni mchache.

Maendeleo hayana Vyama.
 
Hii nchi kila mtu n mpigaji , ndugu mtanzania usikae kizembe , yule unaedhan ni mkomboz wako ndo kwaaanza anakuvutia pumzi akupge tukio
 
Kwa nini zoezi la sensa halijaendeshwa na wafungwa kwa kushirikiana na askari magereza
 
Hongereni kwa kazi nzuri makarani mliopo ktk semina ya Sensa japo nasikia hamjalipwa hata thumni mpaka Leo lakini mmekuwa wazalendo kweri kweriii. Yes pigeni kazi ndugu zangu kwa bidii taifa litajengwa na watu wenye moyo.

Tunakumbushana tuu kuwa pamoja na kuwa wakati wa Magufuli tuliambiwa uchumi ulikuwa mzuri hadi Serikali ikawa haikopi kwa kuwa ilikuwa pesa nyingi lakini waliosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 hawajalipwa pesa zao mpaka hivi leo. Walilipwa awamu moja tuu kishika uchumba na pesa iliyobakia nyingi wamepigwa.

Lakini pia waliofanya zoezi la anuani za makazi nao pia naona machozi yao yakitiririka mpaka miguuni. Ukiacha hao Kuna wastaafu kibao wanasotea mafao yao mpaka hivi leo hii wanalia machozi ya damu na jasho wanaambiwa mchakato hazina bado.

Tupige kazi jamani huku tukilamba asali kwa wembe. Mambo ni mengi ila muda ni mchache.

Maendeleo hayana Vyama.
kidumu chama chakavu
 
Back
Top Bottom