Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita.

Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini Unguja na utakamilika Oktoba 14 mwaka huu Huko Chato.

Wazee Wa Chato Wanatarajia siku Hiyo Chifu Hangaya atangaze Chato Kuwa Mkoa Rasmi.

RATIBA%20ya%20Mwenge%20wa%20Uhuru%20mwaka%202021e.jpg
 
Kutokujua, hadhi mkoa, manispaa nk Ni kuongeza mzigo kwa wananchi vijiji vya huko, Bora kuomba Halmashauri endapo hitaji lipo, sifa za Jina mkoa na majengo mengi na makubwa taasis za umma hazina impact kubwa maisha Bora ya watu.
 
Hivi kumbe huwa kuna sherehe za kuzima mwenge? Sikuwahi kujua hili
 
Kutokujua, hadhi mkoa, manispaa nk Ni kuongeza mzigo kwa wananchi vijiji vya huko, Bora kuomba Halmashauri endapo hitaji lipo, sifa za Jina mkoa na majengo mengi na makubwa taasis za umma hazina impact kubwa maisha Bora ya watu.
Wana Chato wanadhani kupewa mkoa ndiyo kuilinda legacy ya stone
 
Sherehe za wachawi zina mwisho mbaya sana, neno la Mungu kwenye kitabu cha Isaiah 50:11 linasema wale wote wanaokimbiza mwenge watalala kwa huzuni.
Daaaa kumbe hata kwenye maandishi matakatifu lipo hilo andiko?
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Akifanya Chettle Mkoa Sawa Sawa Tu, Baadaye Tunajua
Kuna Hii Mikoa Nayo Inataka Igawanye
Morogoro, Tanga, Mwanza, Kigoma, Ruvuma




Nchi Kila Uchao Ni Kugawa Vipande Vya Ardhi Watu Watawale Tu
 
Back
Top Bottom