johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote