Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh RAIS alitangaza kuwa Serikali yake imesamehe KODI ya PANGO kwa kuondoa RIBA kwa Wamiliki wa Viwanja wanaodaiwa KODI ya PANGO. KODI iliyosamehewa ni ile ya ADHABU/RIBA kutokana na Kuchelewa...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23...
2 Reactions
9 Replies
830 Views
Salama wandugu Mama yupo mtaani akifungua baadhi ya miradi na kuona maendeleo ya nchi. Sasa si vibaya sana tukapewa gharama yote ya mafuta ya msafara wake Kupata gharama hizo tuweze kutoa ushauri...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ningependa kukishauri chama Cha CHADEMA kiweke mfumo mzuri wa viti maalum ulio wazi Ili kuepuka Yale ya Covid 19 yasijirudie. Tujifunze kutokana na makosa, la sivyo huko mbeleni litajirudia Tena...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in...
25 Reactions
73 Replies
11K Views
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Tuna mengi sana ya kujifunza Kenya na uchaguzi wao. 1. Uwazi 2. Uhuru wa media zao 3. Incumbent president Uhuru hana kauli yoyote kuhusu uchaguzi 4. Katiba yao inaruhusu haya yanayotokea 5. etc...
2 Reactions
6 Replies
949 Views
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr...
7 Reactions
302 Replies
37K Views
Jamani kwema Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote)...
19 Reactions
111 Replies
7K Views
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA OR TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la msingi la ujenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jambo linajitokeza katika ziara za Rais ndani ya Nchi. Viongozi wa CCM na Viongozi wengine wanatangulia kwenda eneo ambalo Rais atahutubia na kupiga VITISHO kwa Wananchi kwamba hawatakiwi...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
NJOMBE Kijiji cha Mtwango Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha Sensa huja kila baada ya miaka kumi. Twendeni tukapate idadi yetu kamili ili Mh. Rais aweze kuwaleta mafungu yanayo endana na idadi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020...
16 Reactions
154 Replies
14K Views
Mstaafu Jaji Damian Lubuva, aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, alijigamba uchaguzi wa 2015 ulikuwa huru, haki, wazi na shirikishi. La ajabu hadi leo, fomu ambazo tume ya uchaguzi walizitumia kutangaza...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakati Zimbabwe wanatafuta uhuru, kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni serikali ya Uingereza iliyokuwa inampa support Smith. Katika harakati hizo, Zimbabwe walifundishwa kupambana na Waingereza ili...
27 Reactions
98 Replies
9K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli...
2 Reactions
121 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…