Kazi Iendelee..
TRA wanakusudia kuanza kukusanya kodi kutoka kwa wamiliki wa nyumba za kupanga za biashara na madalali ila cha ajabu watu wanataka maendeleo ya kila aina ila hawataki kulipa kodi...
Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika...
Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa...
Jionee vituko vya machawa
"Sijapata kuona haki ya Mungu! Awamu ya sita imemwaga mahela mengi ya maendeleo haijapata kutokea tangu nimekuwa senator wa bunge hili, haki ya Mungu! Zimemwagika hela...
BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia...
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali...
Tangazo la kazi IRS ya USA ambayo ndiye mkusanyaji kodi wa USA kama TRA kwetu, ukisoma majukumu na masharti ya mkusanyaji kodi kwamba awe tayari kutumia nguvu ikibidi kuua ili kukusanya kodi...
Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia...
February 24, 2020
Mahakama Kuu ya Tanzania siku ya Jumanne Februari 25 mwaka huu itasikiliza maombi ya aliyekua mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayetaka apate kibali cha kuukatia rufaa...
Rais mstaafu mzee Kikwete ni mpenda Demokrasia ndio sababu anasema ukweli juu ya ubora wa IEBC.
Nakumbuka 2015 alikataa mambo ya Wagombea kupita bila kupingwa kwenye kura za maoni CCM na hata...
Ndio Zitto Kabwe mlengo wake upo wazi. Ni kiongozi mkuu wa chama Cha ACT Wazalendo .
Chama chake ni mshirika katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, viongozi wote wa ACT kuanzia mabaraza ya...
KINANA AELEZA JINSI RAIS SAMIA ALIVYOKIDHI VIGEZO VYA URAIS
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kimesema kuwa, Rais Samia Suluhu Hasasan ameshika nafasi hiyo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Waziri wa Afya, Waziri Ummy Mwalimu amesema katika Mkoa wa Iringa kuna tatizo kubwa la udumavu kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Ameyasema hayo leo Agosti 13, 2022 akidai kuwa kiwango...
Wanabodi,
Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari...
Wapiga Kura wa KENYA wanaenda kupiga KURA na KUWACHAGUA waliowapigia KURA.
Wapiga KURA wa Tanzania wanaenda kupiga KURA na Kuchaguliwa WASIO Wapigia KURA.
Hizo Tofauti ni kutokana na KATIBA za...
Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila...
Nimetafakari Kwa kina naona shinikizo linaendelea kudai kariba mpya na mambo ya msingi yanayozungumzwa na upinzani ni Tume huru ya uchaguzi, Nguvu ya urais nk lakini suala la mgombea binafsi...