Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Tofauti na Wenyeviti wa vyama vingine vya siasa hawa niliowataja yaani Mbowe, Mbatia na Mrema hawajaonyesha tamaa ya kuutaka urais. Kwa mfano Prof Lipumba mzee Cheyo, Hashimu Ringer nk ni kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa nashangaa humu jamvini na hata huku mitaani wafuasi wa CCM wakisema CHADEMA chalii mama kwa sasa anaupiga mwingi Swal langu kwa wana ccm hivi kwenu chama cha upinzani n CHADEMA pekee au nn...
4 Reactions
4 Replies
729 Views
Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya...
26 Reactions
186 Replies
28K Views
Mumshirikishe Ansbert Ngurumo katika harakati zenu za katiba mpya na Tanzania mpya mnayoitafuta! Huyu ana mawazo ya kuwasaidia kufika huko tunakokutarajia, katiba mpya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Yaani mtu anayejua Kusoma na kuandika hovyo hovyo Akiwa MBUNGE analipwa zaidi ya million kumi kwanza bila makato na baada ya miaka 5 analipwa zaidi ya million mia mbili ambazo hata alikuwa...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
MTAMBO KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi Katika mwendelezo wa uwasilishaji, mijadala na upitishwaji wa bajeti Bungeni, jana tarehe 23...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
66 Reactions
373 Replies
28K Views
Kumekuwa na kauli mbalimbali za viongozi kuhusu kutosinzia nyakati za usiku, na kwamba mkuu wa nchi anakesha ili kutatua changamoto za Watanzania. Nadhani itabidi sasa watanzania kuunga mkono...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema kwamba ndugu zangu Watanzania tunachanganya sana mambo. Frikra za Watanzania walio wengi juu ya serikali ni kwamba serikali ni lijitu lenye manguvu makubwa sana. Na ili...
1 Reactions
5 Replies
636 Views
Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Master Mind ni akina nani Katika uchaguzi wa kisiasa iwe Afrika au ulaya? Je, wajua kwanini Raila Odinga alikuwa analalamika kabla ya matokeo na wakati wa kampeni kutangazwa kuwa ameibiwa kura au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MBOWE UMEZEEKA SASA, ACHA KUTENGENEZA ZENGWE JIMBONI HAI, WANANCHI WALISHAAMUA KWENDA NA SAASHISHA MAFUWE Na Rogan Swai, Narumu Blog Habari za Siku nyingi Mwenyekiti wa kudumu wa Chama chetu Cha...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Bi sent 50 una haki kutoa maoni yako,lakini pia nafikiri kwa mtazamo wangu ama umeielewa vibaya makala ile ya Kasungura au umepotoka hasa kwa kumtuhumu moja kwa moja mwandishi kuwa anatumiwa.Mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ziara za mwenezi Shaka zinakuwa za moto sana maana anaeleza kazi kubwa anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa wananchi. Anasikiliza kero na kuhakikisha wahusika wanatoa majibu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom