Hongera Sana Kamarada Paschal Mayalla, Endelea kuwa Mnyenyekevu na Mtiifu

Nampongeza sana Mhe Paschal Mayalla kwa kuzingatia kichwa cha habari hapo juu
Mkuu Kamarada Uzalendo wa Kitanzania, kwanza asante kunianzishia thread, japo kuna watu humu watadhani haya ni mambo ya multiple ID nimejianzishia, kujifagilia
Mvumilivu hula mbivu walisema Wahenga wetu

Endelea kuwa Mtulivu, Makini, Msikivu, Mnyenyekevu na Mtiifu.
Asante sana na naahidi kuendelea kuwa mtulivu, msikivu, mnyenyekevu na mtiifu kama ...
Kuna Jambo Letu na Kila Jambo na wakati wake
Na iwe kama ulivyo nena!.
Narudia kukupongeza tena
Asante.
P
 
Back
Top Bottom