Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,807
11,969
Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti Mlima Kilimanjaro, Agosti 16, 2022

Waziri Nape Nnauye:
Nawapongeza TTCL kwa kunialika kushiriki tukio hili la uzinduzi wa huduma ya mawasiliano ya intaneti katika moja ya kivutio bora cha kitalii Duniani

Maeneo mengi ya utalii Nchini baada ya filamu ya Royal Tour kuendelea kuoneshwa kwenye runinga mbalimbali Duniani, yamekuwa na watu wengi na tunafaidika kwa kazi nzuri aliyofanya Rais Samia Suluhu, wakati anaanza lilikuwa jambo la kawaida na wapo walionyoosha kidole.

Lakini leo sote tunafaidika, tunamshukuru na kumpongeza Rais Samia, amefanya kazi kizalendo, ameitangaza nchi yetu na ameleta mapinduzi makubwa katika sekta ya Utalii

Awali mlima Kilimanjaro ulikuwa hauna mawasiliano hali iliyofanya watalii wafanye kazi kwa changamoto na kwa sasa wanaweza kuepuka changamoto hiyo na kuongeza mapato ya serikali ambayo yalikuwa yanapotezwa afya

Nitafika hadi uhuru peak kabla ya mwisho wa mwaka ili kuitangazia dunia kuwa Tanzania ndio kitovu cha utalii. Kuwepo kwa mawasiliano ya internet kwenye mlima Kilimanjaro itaongeza mawasiliano kwa kuvutia watalii na wanawahudumia watalii kwa haraka na wakati na ulinzi utaimarika kwa watalii

Wizara inaendelea kusimamia lengo la kuwafikia 80% ya wananchi kwa huduma ya mtandao kama ilivyo kwenye ilani ya chama na dhamira ya serikali ya sifa.

BEI YA DATA IMESHUKA SANA
Waziri Nape amesema bei ya data imeshuka, na kumaliza mkongo wa taifa na kuukabidhi TTCL itafanya bei za bundle kushuka na kuwa nafuu. Kwa kuwa kwa sasa kuna malalamiko ya kuhusu bei za bundle za internet.

Nape ameielekeza wizara ya mawasiliano kuukamilisha mkongo wa taifa wa fiber ili kutoa huduma yenye ghrama nafuu na kuepuka gharama za bundle zinazolalamikiwa.

Natoa wito kwa wizara kuhakikisha huduma yenye ubora. TTCL wanapaswa kuangalia maeneo yasiyofikiwa na mtandao ili kurekebisha tatizo hilo.

Bajeti iliyopitishwa bungeni ni bajeti ya kidigitali ambayo mfano wake ni tukio hili la kufikisha internet kileleni katika mlima Kilimanjaro. Niwaombe watanzania kutokea kutumia huduma hizi.

NAPE: HUDUMA YA FIBER IMESHUSHA BEI YA INTANETI
Serikali ya Tanzania inaendelea na mkakati wa kusimamia utekelezaji na dira ya kufikisha huduma ya intaneti kwa 80% ya Wananchi katika makazi yao Nchini ifikapo 2025.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema maeneo yanayotumia Huduma ya Fiber Mlangoni Kwako bei ya intaneti imeshuka, ambapo ametoa maelekezo kwa Wizara kukamilisha mchakato wa kukabidhi mkongo kwa TTCL ili wauendeshe na wausimamie kwa ajili ya kusambaza intaneti zaidi.

Aidha, katika kuboresha intaneti huduma hiyo imeanza kupatikana katika Mlima Kilimanjaro ambapo uzinduzi umefanyika leo Agosti 16, 2022.
 
Pena, mwigu, marope, na rz wamefutwa ktk Ulimwengu wa siasa Ili waungane na yule was kolomije. Ameen
 
"Hili suala la umbumbu wa Nape kuhusu masuala ya Bundle,nalo muende mkalitizame kwa karibu"

[Q

UOTE="Roving Journalist, post: 43469850, member: 429096"]

Wizara inaendelea kusimamia lengo la kuwafikia 80% ya wananchi kwa huduma ya mtandao kama ilivyo kwe

Kwani Nape anaishi Burundi? kwa maana anayoyasema ni tofauti na hali halisi au ndio mambo ya kulamba asali.
 
Back
Top Bottom