Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini...
Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’.
MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa...
Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage.
Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo...
Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote...
Siku chache baada ya Serikali kutetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki, Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka wizara ya fedha na mipango pamoja na kamati ya bajeti kupeleka mswada wa...
Nimewasililiza wapinzani Lema na Lissu leo wakiongea kwenye youtube. Wameongea sio kupinga ya CCM bali kueleza hali ya vijana wetu Tanzania.
Wanasema wamechoshwa na watu ambao wana tuma private...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili...
Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi.
Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao...
KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI,
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza kwa kuzunguzumza na wanachama wa Chama hicho kwenye Uwanja wa...
Sabaya na wenzake wakitoka ndani ya mahakama baada ya kesi yao kuahirishwa mpaka Agosti 12, 2022. Picha na Janeth Joseph.
Moshi. Washtakiwa wanne kati ya watano katika kesi ya uhujumu uchumi...
Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu
Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa...
Wakuu,
Ofisi, halmashauri, mikoa ,taasisi na mashirika ya Umma kuna hali ambayo haijulikani kuhusu uwepo wa fedha au.
Ukifika kufuatilia malipo unaambiwa mfumo haujafunguka.
Tangu July hadi...
Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana...
Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20...
Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao...
===
Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki,
Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini...
SIKU 50 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, kuna mambo aliyafanya kwa vitendo ambayo bila shaka yamegusa nafsi za wananchi, hasa kuonyesha kwamba anawajali wananchi wa hali ya chini na pia...
Sasa ni dhahiri kwamba Maumivu ya Tozo za dhuluma wanayoyapata wananchi yameanza kuleta kiwewe kwa Wakubwa , hasa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza tangu Uhuru MSHIKAMANO WA WANANCHI WOTE BILA...
Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.