Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,991
4,102
IMG-20220901-WA0062.jpg

KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI,

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za serikali Ili kukopa fedha na kununua meli mpya ili kukidhi mahitaji ya huduma za usafiri na usafirishaji katika ziwa Tanganyika.
IMG-20220901-WA0055.jpg

Makamu mwenyekiti huyo ameyasema hayo wakati alipotembelea na kukagua ukarabati wa meli ya MT. Sangara inayogharimu shilingi bilioni 8.4 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan,

Kinana ameishauri kampuni hiyo ni muhimu ifikirie kibiashara zaidi. Aidha Kinana ameipongeza serikali ya CCM Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025.
IMG-20220901-WA0056.jpg

Hiyo ni baada ya kuambiwa kuwa kama meli hiyo ambayo ni ya mafuta ikikamilika bado mahitaji ya huduma za meli kwenye ziwa Tanganyika ni makubwa na kwamba zinahitajika meli nyingine tatu.
IMG-20220901-WA0058.jpg

“Sikilizeni ndugu zangu msisubiri hela kutoka bajeti ya serikali, ombeni dhamana ya serikali mkakope mnunue meli mpya.. pesa za namna hiyo ziko nyingi duniani.” alisema Kinana.

Kinana pia alipata nafasi ya kutembelea meli kongwe kabisa duniani ya MV Liemba ambayo nayo ipo kwenye mpango wa kukarabatiwa kwa kiwango kikubwa na serikali katika mwaka huu wa fedha 2022/2023.

Meli hiyo ya Mv Liemba ina umri wa zaidi ya miaka 100 na imeingia kwenye orodha ya urithi wa dunia chini ya UNESCO.
IMG-20220901-WA0057.jpg

“Ikikamilika mniambie nitakuja na mwenezi kusafiri nayo.” alisema Kinana." Amesema Kinana

Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameanza ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na Mwanza.

...........Kazi inaendelea........
 
N
View attachment 2342327
KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini (MSCL) kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za serikali Ili kukopa fedha na kununua meli mpya ili kukidhi mahitaji ya huduma za usafiri na usafirishaji katika ziwa Tanganyika.
View attachment 2342329
Amesema hayo wakati alipotembelea na kukagua ukarabati wa meli ya MT. Sangara inayogharimu shilingi bilioni 8.4 ameshauri ni muhimu kampuni hiyo ifikirie kibiashara zaidi. Aidha Kinana ameipongeza serikali ya CCM Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025.
View attachment 2342332
Hiyo ni baada ya kuambiwa kuwa kama meli hiyo ambayo ni ya mafuta ikikamilika bado mahitaji ya huduma za meli kwenye ziwa Tanganyika ni makubwa na kwamba zinahitajika meli nyingine tatu.
View attachment 2342331
“Sikilizeni ndugu zangu msisubiri hela kutoka bajeti ya serikali, ombeni dhamana ya serikali mkakope mnunue meli mpya.. pesa za namna hiyo ziko nyingi duniani.” alisema Kinana.

Kinana pia alipata nafasi ya kutembelea meli kongwe kabisa duniani ya MV Liemba ambayo nayo ipo kwenye mpango wa kukarabatiwa kwa kiwango kikubwa na serikali katika mwaka huu wa fedha 2022/2023. Meli hiyo ya mv Liemba ina umri wa zaidi ya miaka 100 na imeingia kwenye orodha ya urithi wa dunia chini ya UNESCO.
View attachment 2342330
“Ikikamilika mniambie nitakuja na mwenezi kusafiri nayo.” alisema Kinana." Amesema Kinana

Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameanza ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kigoma, Kagera, Geita na Mwanza.
Ngoja ikishawaua ndio wataleta rambirambi🤔
 
Majibu ya Tozo yanajibiwa kwa nguvu sana kwa kweli....
 
Siasa ya mzee Kinana inalipa sana ,Wapinzani jifunzeni kwa huyu mzee mtapata nguvu Sana
 
Kinana ataka sheria rafiki kwa maisha ya wanyonge vipi kuhusu mwigulu nchemba?​

THURSDAY SEPTEMBER 01 2022​

Blahblah tu hakuna lolote!
 
Back
Top Bottom