Zitto: Tumekataa kuwa mateka

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
610
1,540
Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.

Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.

Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.

Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286
FB_IMG_1662266417679.jpg
IMG-20220904-WA0082.jpg
 
Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.

Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.

Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.

Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289View attachment 2347292
Tawi la CCM mtajenga lolote kweli? Nyie si SUK unajinasuaje na CCM
 
Watu 20 wamekosa haki ya kuishi mbona hatukusikia kesi ya mauaji.kwa hiyo uraisi wa mwinyi una damu lita ngapi??
Yaani huyu mpuuzi mwenye mapere usoni mpumbavu sana! Tulikuwepo wote nchini 2020 anaweza kutueleza watu 20 waliouawa ni wapi? Tundu Lisu alikuja kujitegesha akamatwe lakini alifanya kampeni bila vurugu kutokea! Zitto badala ya kuwatetea wananchi analeta propaganda sake mtu! Yaani nchi ikiongozwa na muislam hutamsikia huyu pimbi anapiga kelele!
 
Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.

Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.

Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.

Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289
Mwishowe mlipata nusu mkate kule Zenji na huku bara asali mmelambishwa.
 
Back
Top Bottom