Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema ujenzi wa Meli ya MV Mwanza unakwenda vizuri na anatamani kuwa miongoni mwa watu wa kwanza watakaopanda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza kuondolewa kwa Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa wizara hiyo, Venance Mwolo akisema hatoshi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wale ambao hawajawahi kusikia uchumi wa Profesa Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa fedha, mpango wake wa uchumi uliitwa Malimanomics. Inavyoonekana sasa tuna aina mpya ya uchumi unlioletwa...
0 Reactions
8 Replies
605 Views
Tunaanzaje kuziamini taarifa zake huyu waziri na wakati kipindi tu anaingia hakukuta mkatiko katiko wa umeme, Kwa yeye ndio tukaanza kushuhudia madhila hayo, akajitetea kusema Hoooo! Mitambo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote! Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho...
1 Reactions
2 Replies
600 Views
Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia. Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
Nimeona mahali baadhi ya watu (hasa wanaccm) wakilalamika kuwa Mheshimiwa Mbowe katamka kuwa watu wanatozwa double taxation na maumivu makubwa ya tozo lakini wako kimya huku matumizi mabaya ya...
30 Reactions
105 Replies
9K Views
Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui...
26 Reactions
145 Replies
17K Views
Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Hicho ndicho naweza kusema nimejifunza Kenya. Ni kweli wana tume huru ya uchaguzi, ni kweli wana mahakama huru, Ila sina uhakika kama wana demokrasia ya kweli au ya kielektroniki. Yote kwa yote...
1 Reactions
3 Replies
725 Views
Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu...
18 Reactions
25 Replies
3K Views
LHRC wafungua shauri Mahakamani wataka Tozo zisitishwe Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Nchini (LHRC), wamefungua shauri katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Dar es Salaam kuiomba...
22 Reactions
83 Replies
7K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na...
5 Reactions
74 Replies
4K Views
Tumeshuhudia kwa majirani zetu wa Kenya, uchaguzi ukihitimishwa kwa amani bila umwagaji wa damu yoyote, kwa maamuzi ya Mahakama ya upeo, baada ya kuidhinisha, matokeo ya Tume yao huru kabisa, kwa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na Shehe mwenye ushawishi mkubwa sana kwenye eneo la maziwa makuu, Ponda Issa Ponda na kunukuliwa na gazeti la Raia Mwema, anaeleza kwamba kuna zaidi ya mashehe 300...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Zakaria Obad ni Katibu wa CHADEMA Kanda ya Ziwa yuko mubashara Star TV kipindi cha The Big Agenda. Jamaa anatema madini kuhusu tofauti ya Tax na Levy (Kodi na Tozo). Naendelea kumsikiliza huyu...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom