Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao!
Hivi hapa nchini Serikali...
Nikutakie tu kila la kheri Mh. Tundu Lissu kwani wewe ni muujiza wa kweli kwamba Mungu wa mbinguni anatenda.
Itaendelea kusimama kama alama ya mpigania haki asiyeogopa waovu.
God bless you TAL
Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo!
Bajeti kuu ya serikali, hotuba yako, ukurasa wa 44, unasema serikali imeanza mchakato wa kutafuta mkandarasi wa kujenga kipande cha SGR (Tabora-Kigoma) 514km...
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya...
Serikali leo imetangaza kusitisha kutoa vibali vya MAHINDI kwa wafanyabiashara kupeleka KENYA sababu kubwa ni upungufu wa CHAKULA nchini na tumeshachelewa.
Mavuno ya Tanzania ni July na muda wa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia amethibitisha kuwa Serikali inakamilisha mchakato wa utungwaji wa Sheria hiyo itakayolinda taarifa binafsi za watu.
Kauli ya Nape inakuja wakati kukiwa...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako.
Jana wakati mjadala...
Zamani kamati ya uchumi na fedha ya CCM ilikuwa ndio chimbo lenye wabobezi wa sekta zote muhimu hata serikali ilikuwa inachota madini pale.
Sijajua sasa wanafeli wapi!
Wanabodi,
Naangalia Live ya TBC, kutokea Stockholm, Sweden, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania,
Prof. Palamagamba Kabudi Awahimiza TZ Diaspora, Kuja Kuwekeza Nyumbani.
Prof. Kabudi alikuwa...
Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini.
Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke...
Ni vema tukakemea siasa za kishamba na za uongo zinazotaka kuhuishwa nchini mwetu , ikiwa kama kulikuwa na orodha ya wazi kabisa ya wenye vyeti feki Magazetini na kwenye vyombo vingine vya habari...
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu...
Kumekuwa na taarifa zikiripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ya kwamba mfuko wa bima ya afya kukumbwa na changamoto mbalimbali za ukwasi, na hii inadhihirishwa na NHIF wenyewe walivyokuja na...
Vituo vya afya vyote vilivyotajwa vimejengwa na serikali ya awamu ya tano awamu ya sita imejenga vyoo nchi nzima kwa mkopo wa Tsh. trion 1.3 ambazo ni fedha za UVIKO.
Hivi kwanini serikali...
Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji...
Habari za leo wajuba,
Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti.
Sijui kwa nini this platform seems...
Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida.
Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji.
Pia soma:
Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA...
Matatizo yetu huku mikoani sio mabasi ya mwendokasi.
Maliza kwanza changamoto za hayo mabasi japo Dar. Mengi ni mabovu, machache na hata spika hazifanyi kazi kuwaambia abiria kituo kinachofuata...
Mtaji wao mkubwa ni idadi kubwa ya Watanzania wajinga, mtu mjinga ni mtu mwenye akili duni iliyochoka hata kifikra, ni mtu hatari ambaye anaweza kufanya lolote ili ashibe tu bila kujali nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.