Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza. Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia...
16 Reactions
210 Replies
13K Views
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba...
4 Reactions
13 Replies
948 Views
Ninetumia miezi mitatu, kusoma mageuzi nchi mbali mbali Duniani, nilianzia South America, nikapitia mageuzi nchi kama Argentina, Colombia, Venezuela, Chile, na baadae nikapitia America ya kati...
10 Reactions
7 Replies
596 Views
Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa miaka sitini ya uhuru mkulima hajawahi pata bei stahiki ya mazao yake. Haya tunayoyaona leo ni matokeo ya kumnyonya. Watu waliacha kulima kahawa na chai sababu ya kunyonywa. Lakini sababu hao...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi. Amesema kwa mara ya kwanza sheria hiyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Chama cha NCCR MAGEUZI kimefungua kesi mahakamani dhidi ya viongozi waliojaribu kufanya mapinduzi na kusababisha sintofahamu kwenye chama hicho. Kesi hiyo imefunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwanza nimpongeze member mwenzetu huyu kwa kuthubutu na kuomba uteuzi wa kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM. Mchakato wa uteuzi umekamilika wateuliwa kugombea kupitia CCM wameshatajwa. Jimbo...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Tulimsikia Rais live akiwa Arusha. Akitamka kupokea message za kuomba salio kutoka kwa mmojawapo wa waandishi waandamizi nchini. Huo ni mfano na uthibitisho tosha kwamba waandishi wa nchi hii ni...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Watumiaji wa huduma za Maji nchini moja kati ya kero zao ilikua ni kuhusu ubambikaji wa bili za maji kwa wananchi, Miongoni mwa maagizo aliyowahi kutoa Rais Samia Suluhu ni pamoja na uharakishwaji...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Siku ya leo mitandao yote ya kijamii inazunguka Clip ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ikisema kuanzia sasa gharama ya kuunganisha umeme iwe mjini iwe kijijini gharama ya kuletewa umeme ni...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mhe. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, kwa siku za hivi karibuni kumekuwa kukishuhudiwa matukio mbali mbali ya Watu kujitoa uhai...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi. Baadhi ya jitihada muhimu...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa...
4 Reactions
6 Replies
817 Views
Anaandika MTANGANYIKA - Rais wa TEGETA Empire - 0752591744/0682080069. Barua Kwa Mwanangu MTANGANYIKA BARA, S.L.P 1961, Mbinguni. 12/ 09/ 2022. MTANZANIA BARA VISIWANI, S.L.P 1964...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye...
3 Reactions
8 Replies
957 Views
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa...
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Back
Top Bottom