Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Hapo zamani za kale katika nchi ya Wagagagigikoko alikuwepo jamaa mmoja MASKINI lakini mwelevu sana aitwaye ABDUL(au tumuite Polepole!!). Siku moja aliketi chini na kutafakari kwa kina jinsi ya...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Mheshimiwa waziri atambue kuwa mita ya umeme, waya, na nguzo ni mali ya Tanesco na ndiyo capital asset yake, ili TANESCO isambaze umeme lazima iwe na hivyo vitu vinginevyo hakuna usambazaji...
12 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekuwa najiuliza sana kwanini Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Jamhuri haijamshtaki mpaka leo kwa kosa la Kukivamia kituo cha televevisheni cha Clouds usiku akiwa na Askari...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Watanzania tulikuwa na hamu Sana ya kumsikia kiongozi wa Jopo la waangalizi wa ukanda huu wa Afrika Mashariki, Jakaya Kikwete, ambaye aliongoza Jopo hilo, kwa upande wa Afrika Mashariki, mara tu...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame...
1 Reactions
124 Replies
6K Views
Hiki ni kipigo alichopata Mazrui kwenye uchaguzi uliopita Zanzibar, leo ni Waziri wa Afya! Kuna wengine hawajawahi kutolewa hata kucha na bado wanajiita wanaharakati.
2 Reactions
4 Replies
927 Views
Tanzania kuna vituko , tunaomba uelewa wa matokeo ya mitihani huu na idadi ya waliochaguliwa. PURA wamefanya vituko kupitia Tume ya Ajira, majina kujirudia na watu kulingana maksi. Tume ya Ajira...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Karibu mkoani Tabora Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Tarehe 08 Septembà, 2022
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu? Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya...
0 Reactions
5 Replies
760 Views
Mwanzoni ilikuwa Wapangaji wa nyumba na ofisi Kwa ajili ya biashara tu (commercial/business) ndiyo waliokuwa wakitakiwa kulipa withholding tax ya asilimia kumi (10%) TRA. Kifungu Cha 82(2)(a) Cha...
5 Reactions
70 Replies
8K Views
Serikali imepunguza bei za Nishati ya mafuta kwa mwezi Septemba 2022 kwa Dar es Salaam bei za Mafuta kwa mwezi September 2022, Petroli bila ruzuku ya serikali ilitakiwa kuwa shilingi 3049 baada ya...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Kitendo cha kuachia picha inayoonyesha namna wananchi wasivyosisimka na uwepo wa Mh. Rais Samia kwenye usafiri wa boti ya abiria kinatafakarisha sana. Si kawaida kwa Rais kujitokeza hadharani na...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuna Uzi hapa ulianzishwa hapa jukwaani kuwa Kuna Watu wameandaliwa Ili kuipigia "debe" wizi...nadhani ni Erythrocyte ndio aliuleta hapa. Leo amejitokeza hadharani Steve "Nyenyere" akisifia tozo...
30 Reactions
147 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mkutano wa hadhara wa Act Wazalendo huo hapo chini. Tena wanatishia kuvunja muungano na kurudisha kiti cha Zanzibar Umoja wa Mataifa. Wakati huohuo huku Tanganyika vyama mbadala vinazuiwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza. Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia...
16 Reactions
210 Replies
13K Views
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba...
4 Reactions
13 Replies
948 Views
Back
Top Bottom