Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.
 
Taahira kama wewe ni wa kupuuzwa tu. Huyo aliyeichukia Chadema chuki yake ndiyo imefikisha wapi sasa?
 
Wewe huyo huyo unasema Magufuli aliwakataa Chadema sababu hawako kwa maslahi ya umma ila matumbo yao alafu sentensi inayofuata unasema tena wamelamba asali hawatetei maslahi ya umma. Tushike lipi sasa. Walikuwa wanatetea au hawatetei, kama walikuwa wanatetea MAgufuli aliwakataa kwanini sasa na kama walikuwa wanatetea ila mama kawalambisha asali ndio maana hawatetei kwanini Magu aliwakataa hadi kutaka kuwafuta kwenye ramani ya dunia?
 
Kilaza huyo, taburasa tu.
Wewe huyo huyo unasema Magufuli aliwakataa Chadema sababu hawako kwa maslahi ya umma ila matumbo yao alafu sentensi inayofuata unasema tena wamelamba asali hawatetei maslahi ya umma. Tushike lipi sasa. Walikuwa wanatetea au hawatetei, kama walikuwa wanatetea MAgufuli aliwakataa kwanini sasa na kama walikuwa wanatetea ila mama kawalambisha asali ndio maana hawatetei kwanini Magu aliwakataa hadi kutaka kuwafuta kwenye ramani ya dunia?
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.
kuna chama tapeli zaidi ya Ccm duniani??
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.
Wewe ulitaka chama cha demokrasia na maendeleo [ CHADEMA ] wafanye nini wakati huu ?
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.
Wewe ndio unaweza kuwa haufai pia,jiangalie vizuri.
Magufuli aliyekuwa haitaki chadema yupo wapi?
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.
Mungu alivyo mkubwa, aliyeikataa CHADEMA aliondoka na kuiacha ikiwa inazidi kuchanja mbuga. Aliokuwa anapanga mikakati ya kuua upinzani mikuwa mnamshangilia, leo mambo yamekuwa magumu mnaanza kuwalilia wapinzani wawasaidie
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo ya
o?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.

Chadema wakiongea mnawaita wanaenda na matukio, wakiamua kukaa kimya mnawaita majina. Baki hivyo na unafiki wako.
 
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?

Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.

Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.

Hawafai hata kiduchu.

Matapeli ni CCM wanaotoza tozo kwenye pesa iliyokatwa Kodi tayari.
 
Wakati Magufuli anawashambulia chadema mliwacheka na kuwakebehi. Leo mnaonja shubiri ya tozo mnawaona wa maana. Na bado tozo zinakuja mpaka akili ziwakae sawa.
 
Unaweza ukawa sahihi kwa sababu wapumbavu kama wewe ndio mtaji wa ccm kwa sababu ndio mnaowasaidia kuiba kura kwenye chaguzi zao za kipumbavu. Useless kabisa.
 
Ili jamaa mtoa mada Ni kubwa la wajinga na boss la mapumbavu yote hapa nchini

Nenda lumumba pale ndio ilikuwa ofisi ya magufuri ,Kuna majizi menzake yamebaki ,Katoe malalamiko yako
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom