Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,056
- 6,208
Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza.
Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha!
Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa wafanyabiashara, wengi wao wanadai hawasumbuliwi hasa na mambo ya risiti za EFD na kwao wanadai wanapiga pesa kwa lugha ya mtaani.
Kazi iendelee.