Kwa mujibu wa pew research center 41% ya Muslims wa tanzagiza wanasapoti sharia au wangependa sharia iwe sheria ya nchi vs 39 % ya Christians wangependa Biblia iwe sheria mama ya nchi i.e tuishi...
Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?
Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na...
. Mwinyi atangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS 300,000 hadi TZS 500,000
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS...
Amebakiza makunyanzi tu usoni.
Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini
Shetani hana...
CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda.
Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche.
Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewataka Watumishi wa Serikali kuheshimu ajira zao mara wanapozipata na kuacha kutafuta visingizio vya kuhamishwa kutoka maeneo yao ya kazi, hususan mikoani...
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Jasusi
Kama taifa lina vyombo vya intelligence kulinda mipaka, uchumi na taasisi zake, basi familia nayo lazima iwe na intelligence ya kulinda maadili, uchumi...
china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa.
Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja...
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na...
Nimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana...
Katika hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba alieleza kuwa deni la taifa sasa limefikia shilingi trilioni 107.7. Kati ya kiasi hicho, deni la nje ni...
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi...
Wanabodi,
Mimi ni mmoja wa wanabodi, mara moja moja siku za Jumapili, nitakuwa nawaletea nyuzi za mambo ya powers.
Mamlaka Kuu kabisa ulimwenguni ni Mungu, kwa majina tofauti tofauti, Mungu...
Mwenyekiti wa Chama cha ADC Hammad Rashid amesema kuwa Tume ya Uchunguzi imefanya kazi nzuri ya kuleta ripoti ambayo imeonesha wapi kama taifa lilikosea na namna gani ya kusonga mbele kwa sasa...
Ukweli utabaki kuwa ukweli na Uongo utabaki kuwa uongo.
Tume ya Jaji Chande kwa kweli haijapokelewa vizuri na wananchi. Ripoti imekuja na maswali mengi kuliko majibu na mkutano wao wa jana tarehe...
Kuna hotuba moja ambayo Mwalimu Nyerere aliwahi kuitoa akasema mabadiliko ya siasa za dunia na usalama wake unamaanisha kuwa vita vya nchi kwa nchi hasa zile kubwa vitapungua sana hadi kuisha...
Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja.
Hii tabia za kuwatukana...
Gazeti la The Economist la Aprili 30, 2026 limechapisha makala yenye kichwa: "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?" — yaani "Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.