Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Mkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
2025 mtifuano utakua mkubwa sana na wa aina yake, suluhisho itakua kwa mwanamke! Na Atashinda!
 
Mkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
Pia kwa nchi zetu za ki-Afrika, mkitaka kuchagua rais mwanamke, angalieni ameolewa na nani. Maana huyo mmewe ndiye atakayekuwa rais wenu wa nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom