Watu wengi ndani na nje ya nchi yetu,wasomi mbalimbali,Bunge la ulaya, viongozi wa kisasa kule marekani,na sasa jumuia ya madola,wote wameshauri Tundu Lissu atoke gerezani.wote wanajua kesi iko mahakamani, lakini bado wameshauri Lissu atoke.
Kwanini?Inawezekanaje watu wote hawa wawe hapana akili na hekima?Wasomi wetu wenyewe ambao wengine wamewahi kuaminika katika nchi na kupewa majukumu mazito.
Tumewahi kuwaheshimu kiprotokali na kuwasikiliza,Leo maono na mawazo Yao yamekuwa upuuzi?Nchi yangu Tanzania ni muhimu tujitazame na kujitafakari upya.Kuna siku Lissu ataachiliwa bila masharti,lakini tutakuwa tumechelewa sana