Hahaha 😆!! Kumbe n ww umeona.Leo yule jamaa anayekaimu ukatibu mkuu wa CHAUMMA alikuwa anajiumauma tu alipoulizwa kuhusu kwa nini wanachama wao/viongozi waliohama CHADEMA wamekuwa wakikiandama CHADEMA na kuiacha CCM?Je,mkinzani wa CHAUMMA ni CHADEMA zaidi/kuliko CCM?Akawa anajibu kama anataka kurusha ngumi.Suckers!
Mipambaff ile imekusanyana CHAUMMA kwenda kumsumbua mzee wetu wa ubwabwa tu.Hahaha 😆!! Kumbe n ww umeona.
Kazi ni kipimo cha utu
acha upotoshaji gentleman,CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia.
Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell!
Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na helcopter? Nonsense! wanadhani watu wajinga!

Mwenye uwezo wa kufikiria, tuwe tunakiri kuwa ana uwezo wa kufikiria...Nahisi huu ni mtego, wakiwa na hela nyingi account yao itachunguzwa na wao watalalamika mwisho wa siku na ya chadema nayo itafungwa kwa ajili ya uchunguzi, ni mawazo yangu tu
Nina mawzo yaka yako. In fact nilikuwa nataka kupost exactly ulichopost. Ndicho kitakachotokea. Vyovyote itakavyokuwa Baraza la wananchi litakaa na maamuzi mazito ya wananchi yatatolewaNahisi huu ni mtego, wakiwa na hela nyingi account yao itachunguzwa na wao watalalamika mwisho wa siku na ya chadema nayo itafungwa kwa ajili ya uchunguzi, ni mawazo yangu tu
Ni kama ile mbinu ya awali iliyofaili. Salim Mwalimu alituhumiwa kula hela za chama. Harakaharaka akakaa pembeni eti kupisha uchunguzi. Baada ya muda mfupi Heche akatuhumiwa kula hela za cdm, ccm wakawa wanapush ajenda akae pembeni kama kufuata alichofanya Salim Mwalimuz cdm wakagoma kuuvaa huo mtego wa kipuuzi.Nahisi huu ni mtego, wakiwa na hela nyingi account yao itachunguzwa na wao watalalamika mwisho wa siku na ya chadema nayo itafungwa kwa ajili ya uchunguzi, ni mawazo yangu tu
Qma wa mama!Hii minyumbu ni mijitu iliyojaa wivu sana mamamamae zao. Nyie mna yenu na wao Wana yao, hangaikeni na yenu; ya chaumma waachieni chauma kama wao wanavyoyaacha ya chadema kwa wanachadema.
Mtatokwa mikulo kwa wivu na chuki
Ohhh mkata viuno kwenye ubora sanaaa hipitwi na KILA bandiko linalohusu chadema hukufukuzwa chadema Dada njoo utubu tutakusamehe mwana mpotevuacha upotoshaji gentleman,
chama kilichosheheni wafuasi na mashabiki wa kuporomosha matusi ndio hubabaika kukusanya fedha kwasababu wafuasi na mashabiki hao ni hazina ya kutukana na kuporomosha matusi tu, na si vinginevyo.
vyama vya siasa vyenye wanachama hai na kindakindaki hawewezi kuchukua zaidi ya siku mbili kuchangia One billion![]()

Ohhh mkata viuno kwenye ubora sanaaa hupitwi na KILA bandiko linalohusu chadema hukufukuzwa chadema Dada njoo utubu tutakusamehe mwana mpotevuacha upotoshaji gentleman,
chama kilichosheheni wafuasi na mashabiki wa kuporomosha matusi ndio hubabaika kukusanya fedha kwasababu wafuasi na mashabiki hao ni hazina ya kutukana na kuporomosha matusi tu, na si vinginevyo.
vyama vya siasa vyenye wanachama hai na kindakindaki hawewezi kuchukua zaidi ya siku mbili kuchangia One billion![]()
Mku**du wa lissuQma wa mama!