CCM ilitengenezwa kama Royal Family ya Uingereza ndio ikasemwa " Chama Kimeshika Hatamu za Uongozi"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,796
141,692
Ulitaka kuielewa nguvu ya CCM ( Chama Dola) jaribu kuangalia Mfumo wa Kifalme unavyofanya Kazi Uingereza na nje ya UK

Nyerere aliiga/alirithi mambo mengi kutoka kwa Malkia Elizabeth baada ya kupata Uhuru

CCM huwa hawaibi kura bali Mfumo wao una nguvu ya kuamua lolote

Sabato njema
 
Hapana bwashee.

CCM imejitengeneza kama "Royal Family" baada ya kulitupa azimio la Arusha, kuzaliwa azimio la Zanzibar, na makundi kuanza kushika hatamu, hapo ndio zikazaliwa "Royal Family".
 
Nyerere alimuiga Lenin hakuiga Ulaya Magharibi. Ukisoma historia ya mapinduzi ya Urusi (Great October Socialist Revolution) ambayo Lenin na wenzake walitwaa madaraka ya Urusi utaona wapi Nyerere aliiga sera zake mbovu. Na ndiyo chanzo cha kukiita chama chake chama cha mapinduzi.

Ulitaka kuielewa nguvu ya CCM ( Chama Dola) jaribu kuangalia Mfumo wa Kifalme unavyofanya Kazi Uingereza na nje ya UK

Nyerere aliiga/alirithi mambo mengi kutoka kwa Malkia Elizabeth baada ya kupata Uhuru

CCM huwa hawaibi kura bali Mfumo wao una nguvu ya kuamua lolote

Sabato
vipi kuhusu mabox ya kura yaliyokamatwa kawe
 
Back
Top Bottom