Rais Wangu Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie.
Wasalaam mama kipenzi Cha watanzania,
Natambua nitapokea matusi, kejeli na dhihaka nyingi kutoka Kwa makundi yaliyoandaliwa na watega mtego, lakini sitojali.
Iko hivi mbinu ya ukusanyaji Tozo za miamala ya kibenki na simu ni njia Bora na sahihi sana kwasababu inakusanya mapato bila kumfanya mlipaji ahisi maumivu makali, na hio ndio kanuni kuu ya ulipaji Kodi duniani kote, nchi haiwezi kuendeshwa Kwa kusikiliza kelele za wanaharakati uchwara wa mitandaoni ambao hukaa vikao vya Siri kupanga mbinu ovu za kukwamisha Serikali, kusikiliza kelele za magazeti yaliyopangwa ni kutoitendea haki nchi hii.
Mama, Wataalam wa Wizara sio wajinga kuja na mfumo huu, watanzania wakaiwada Kabisa huku underground wanaunga Mkono, wanatambua umuhimu wa Tozo hizi, wanajua kazi inayofanyika Kila pembe ya nchi ni matokeo ya Tozo hizi, hata kama ni mikopo ya wahisani, wanatambua lazima ilipwe na walipaji ni watumiaji wa maendeleo hayo.
Mhe Rais, Wanasiasa wenye Nia ovu wamo ndani ya chama chako na nje na bahati mbaya sana wameungana, Wanampiga Mwigulu Nchemba kwasababu wanajua huyo ndio mwiba mkali kwenye hili, na bahati nzuri Mwigulu ameshajikana mwenyewe alisema Yuko tayari kuchukiwa na wote.
Mwigulu Nchemba ndio mtu pekee ambae uzalendo wake hauna mawaa, Wanasiasa hawampendi wanawaza jambo lao la 2030 wanahisi akiwapiku kwenye hili la kukusaidia kufanikisha maendeleo basi atakuwa chaguo lako 2030, wao kwao maendeleo sio priority Yao, wao makundi ya uchaguzi ndio kipaumbele Chao, watazame Kwa jicho la tatu, wamo umo kwenye BARAZA lako wamejivika ngozi ya kondoo wakilipa pesa wahariri wa magazeti, wakilipa mapesa mengi wahuni wa mitandaoni Ili kumobilezi ujinga wakihisi unatishika na mitandao, tena wanasema "Mama anasikiliza mitandao hivyo tuwekeze mitandaoni" shtuka mama haya majizi yanakutega Ili uingie king yakumalize.
Mwisho, usidanganywe Mama, mtaani unapendwa, Tazama Mapokezi ya kijana wako Mwigulu Nchemba pale Sirari ambako ni ngome ya chama Fulani, Tazama Mapokezi ya shaka mikoani, Tazama Mapokezi ya Kamaradi kinana mikoani.
Tozo ni muhimu, ila zielekezwe sehemu husika, hapo hakutakuwa na ugomvi na watanzania. Asante Mama Kwa kusoma.
"Sometimes it's better to suffer great misfortune once than to have it bit by bit and later whole of it pressed and compressed"