Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Habarini!

Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa!

Kwenye hoja;

Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake wakijadili mambo mbalimbali. Nimeshangaa kumuona akimruhusu huyu balozi kuzungumzia mgogoro wao na Misri. Amerusha madongo kwa Misri. Nikiangalia hapo studio hakuna mwakilishi yeyote wa Misri, hii imekaaje wadau mnaoelewa mambo ya diplomasia?
  • Nchi yetu sidhani kama inafungamana na yeyote kati ya nchi hizo mbili zinazogombea matumizi ya mto nile....kwanini aruhusu mjadala huo wa upande mmoja?
  • Huu mgogoro ni kama umesimama hivi kwa miaka ya karibuni, kwann ye auibue?
  • mbona ni mara nyingi mno anamwita huyu balozi katika kipindi chake?!!! Maana mara kwa mara namuona huyu balozi, sijapata kumuona wa Misri.
  • Ndugu yetu huyu anaufahamu wa kutosha kuhusu historia za hizo nchi na nchi yetu au mambo yenyewe tu ya uchambuzi wa issue kama hizi kwa ujumla?!!!! Mi kama nina mashaka ne hivi.
  • Au mimi ndo sielewi chochote?
 
Kama hujui Tanzania kama ilivyo Ethiopia na wahanga wa huo mgogoro wa matumizi ya maji ya mto Nile
 
Back
Top Bottom