Mbowe anaridhiana nini Ikulu kama bado anasusia Chaguzi? EALA tunataka tuwapime Chadema na ACT wazalendo nani atatuwakilisha!

Mwagito,wamekwambia hawajakaa kuteua wagombea.Kwani CDM isiposhiriki hauoni wengine watakaa kwa uhuru?Kwa hiyo umekaa unavizia habari zao kwa shauku sana?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo

Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana

Maridhiano hayakuwa ya CDM, bali ni ya Mbowe na Samia. Na hata Mbowe anajua wafuasi karibia wote hawakumuunga mkono kwenda kwenye maridhiano. Huo ubunge wapeni ACT na CUF, wao ndio wanahitaji vyeo vya hisani.
 
Tunataka katiba mpya,itayotupa mahakama huru,binge huru na Siri Kali huru,na itakayo nyima umiliki wa yote Kwa Siri Kali๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐ŸšถKwa watz 60 mil๐Ÿค”
 
Maridhiano hayakuwa ya CDM, bali ni ya Mbowe na Samia. Na hata Mbowe anajua wafuasi karibia wote hawakumuunga mkono kwenda kwenye maridhiano. Huo ubunge wapeni ACT na CUF, wao ndio wanahitaji vyeo vya hisani.
Na CCM walivyo matapeli wanaweza kuondoa mgombea wao ili ACT au Ngunguri washinde wahadae watu kwamba kuna "ndimoklasia"!
 
Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo

Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana
Namshauri Lissu atafakari upya uwepo wake Chadema ikiwa bado ana shauku kufikia malengo kisiasa.
Nimekosa imani na Freeman Mbowe totally.
 
Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo

Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana
Achร  akili ndogo, wapi alisema wamefikia maridhiamo in any contentious issues in the agenda?
 
Siasa ni hesabu huoni yaliyomkuta Odinga huko Kenya, watu wamemchinjia baharini na hana wa kumlaumu.
 
Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo

Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana
Siasa ni hesabu huoni yaliyomkuta Odinga huko Kenya, watu wamemchinjia baharini na hana wa kumlaumu.
Nafikiri Mwenyekiti hahitaji kurudhiana na watu ambao hawana nia ya dhati ya hayo Maridhiano hapa nikuanzisha M4C operation sangara kuwaambia wananchi ukweli wa huu ujambazi ulioanzishwa na rangi ya kijani , double taxation , inflation etc
 
Back
Top Bottom