Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali iangalie hili swala,kwa jicho la tatu.Jeshi la polisi ni nguzo muhimu katika usalama,amani na ulinzi kwa wananchi. Matatizo mengi ya kiusalama kwa wananchi yanaweza kuepukika.Jeshi la...
1 Reactions
4 Replies
963 Views
Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021...
142 Reactions
480 Replies
37K Views
True leaders dont die..their words remain on the lips of their believers for ever and ever. Always try to build a great legacy which you will leave behind for people to remember you.
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Mchungaji Matsai wa KKKT Kimara amempongeza Rais Ruto wa Kenya kwa ushindi alioupata kwa msaada wa Mungu Matsai amesema Tanzania nayo itakuwa kama Kenya
1 Reactions
2 Replies
727 Views
Uchawa unatafuna nchi na Kuongeza gharama za uendeshaji Taifa Gharama kubwa tunatumia kuwalipa watu wasio kuwa na mchango kwenye Taifa hili Lusinde yupo bungeni anafanya kazi gani na ana mchango...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi. Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana. Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mmoja wa wadau katika warsha ya uandaaji wa maudhui ya ndani iliyoandaliwa na TCRA alionesha masikito yake kuwa analazimika kuandaa vipindi vinavyotetea tozo japo yeye binafsi hakubaliani na tozo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi...
7 Reactions
78 Replies
5K Views
Alichokiandika Haji Manara Mungu aendelee kukubariki Rais Wetu mpendwa Mama Samia Suluh Hassan kwa kutupatia Mkuu huyu Mwadilifu wa Mkoa Mh Amos Gabriel Makalla . Ukiacha majukumu yake makubwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtu anaestahili kutozwa faini ya 2m hadi 20m ingepaswa iwe ni yule tu ambae atahamisha (diverge) mto bila kibali sio yule anaetumia maji tu bila ya kuhamisha chanzo cha maji. maana uzito na ukubwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Marekani wana taasisi mbili ambazo naamini zingetusaidia sana kama tungeziiga. Ya kwanza ni ya National Economic Council ambayo kazi yake ni kumshauri rais wao kuhusu uchumi wa nchi yao na...
3 Reactions
8 Replies
537 Views
Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Swali la muhimu ni Je hizo dawa za kuhifadhia miili ya marehemu hazisababishi kansa? Atujibu hilo tu!
2 Reactions
2 Replies
451 Views
Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya. Uwekezaji...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Huyo ndiyo Big boss wao/wenu wote, hapo ni lazima wote wana bow down, kupiga kura ni formalities tu! “its enough that the people know there was an election. People who cast the votes decide...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu. Akijibu swali Bungeni kuhusu...
1 Reactions
116 Replies
8K Views
Haya mambo yanahitaji kufunga na kuomba kwa sababu siyo madogo kama tunavyodhani Ulaji wa sangara utakuwa mashakani Mitume na manabii nao heshima imeshapungua Hawa Panyaroad huko uswahilini...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha! Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Kamisaa wa Sensa Spika mstaafu Anne Makinda amesema jumla ya Makarani wa Sensa 10 walikufa wakati wa utekelezaji wa zoezi la Sensa. Source Star tv ===== LICHA YA MAFANIKIO KATIKA SENSA...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom