Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

Wanaounga mkono ccm ni mazombie. Walishajitoa ufahamu na hawafikiri tena kama binadamu wenye utimamu wa akili.

Kama hauamini subiri uone watakavyokuja kukukejeli na kukutukana kwenye hii post
 
Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?

Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
hiyo nonsense ndio nini ndugu mfuata mkumbo?
 
ndio nini hiyo ndugu mfuata mkumbo?
Screenshot_20260427-082911~2.png
 
Ulizaneni kwanza Kwanini CHADEMA na wafuasi wake mmejaa matusi midomoni mwenu utafikiri vichaa au wendawazimu
 
Kama nyie mnajua demokrasia , kwa nn mnaponda wengine kama vile hawastahili . Mpumbavu endelea kuamini kwamba mawazo yako ni bora kuliko wengine .
 
Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN?

Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
Kawaida wao wakifika getini kwao sharti kuuacha ubongo kwenye kabati getini,kwani ukivuka hapo utaendakuwasumbua!
 
Back
Top Bottom