Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bahati mbaya sasa ni kuwa Lissu na Chadema wachache sana ndio wanaweza kupigania utawala bora, haki, Ajira na kutoa dira ya kiuchumi ya Taifa. CCM naamini hawakupanga kufanya mauaji. Ila naamini...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Kuna jirani yangu ameniletea habari kutoka mitandaoni bahati mbaya au nzuri huwa sina muda wa mambo haya ya mitandao, akanambia naomba unieleweshe. Ripoti ya Chande kuhusu mauaji ya 29, Oktoba...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla...
16 Reactions
37 Replies
797 Views
Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji Ama kweli Bila Polisi CCM ni...
7 Reactions
13 Replies
402 Views
guest-1788162615
Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla...
11 Reactions
30 Replies
602 Views
Iko hivi, Jana kulikuwa na mambo mawili, ukiacha Mei Mosi iliyopuuzwa na kila mtu, Moja ilikuwa upuuzi wa Ndondi uliopachikwa jina la knock out ya Mama, Na lingine ilikuwa Tamasha la kimataifa la...
20 Reactions
32 Replies
841 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi Wa aina yake ,ni kiongozi mwenye Ushawishi haijapata kutokea Barani Afrika Katika Miaka ya hivi karibuni, ni kiongozi mwenye Uwezo Mkubwa...
0 Reactions
15 Replies
433 Views
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na...
18 Reactions
37 Replies
609 Views
Vijana tembeeni na Silaha na mlinde ndugu zenu. Mkishindea mtaisha wote
3 Reactions
22 Replies
623 Views
Mpaka sasa inaelezwa kwamba Watatu wamedakwa Hii ni Taarifa ya MwanaHalisi Kama lilivyomnukuu Msemaji wa Jeshi la Polisi Mtukufu Misiime
6 Reactions
24 Replies
593 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Tumeyaona tuliyoyaona, tumeyasikia tuliyoyasikia, na tuliyoyafikiria tumeyafikiria. Tunataka kwenda mbele, tuendelee mbele. Tunatamani (baadhi yetu) siyo tu tuendelee mbele...
48 Reactions
66 Replies
2K Views
Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona...
19 Reactions
85 Replies
12K Views
SUALA LA KABURI LA HALAIKI KWA KONDO NI POROJO ZA WANAHARAKATI NA LARRY MIDOWO WA CNN 📌 💡Kufuatia vurugu na machafuko ya kupangwa na kuratibiwa na wanaharakati na baadhi ya vyama vya siasa...
2 Reactions
20 Replies
504 Views
Hii ni kwa sababu imedhihirika kwamba hawana Uzalendo na Nchi yetu Taarifa ya awali aliyoitoa Jaji Chande ya kuwa hawakuangalia kingine zaidi ya madhara tu kwa yaliyotokea October 29, ni usaliti...
22 Reactions
83 Replies
2K Views
Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali. Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu...
12 Reactions
41 Replies
806 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Mocrine Julius (Mazidi), mkazi wa Salasala kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kuwa amenusurika kutekwa na mtu...
1 Reactions
12 Replies
379 Views
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika...
3 Reactions
7 Replies
223 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watendaji wa Ardhi kuacha tabia ya kutengeneza migogoro ya ardhi kila siku, akisema kuwa Serikali imechoshwa na malalamiko yanayojirudia kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa. Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima...
1 Reactions
29 Replies
377 Views
Back
Top Bottom