Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi Wa aina yake ,ni kiongozi mwenye Ushawishi haijapata kutokea Barani Afrika Katika Miaka ya hivi karibuni, ni kiongozi mwenye Uwezo Mkubwa...
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tumeyaona tuliyoyaona, tumeyasikia tuliyoyasikia, na tuliyoyafikiria tumeyafikiria. Tunataka kwenda mbele, tuendelee mbele. Tunatamani (baadhi yetu) siyo tu tuendelee mbele...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona...
SUALA LA KABURI LA HALAIKI KWA KONDO NI POROJO ZA WANAHARAKATI NA LARRY MIDOWO WA CNN 📌
💡Kufuatia vurugu na machafuko ya kupangwa na kuratibiwa na wanaharakati na baadhi ya vyama vya siasa...
Hii ni kwa sababu imedhihirika kwamba hawana Uzalendo na Nchi yetu
Taarifa ya awali aliyoitoa Jaji Chande ya kuwa hawakuangalia kingine zaidi ya madhara tu kwa yaliyotokea October 29, ni usaliti...
Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali.
Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata Mocrine Julius (Mazidi), mkazi wa Salasala kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mtandaoni kuwa amenusurika kutekwa na mtu...
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watendaji wa Ardhi kuacha tabia ya kutengeneza migogoro ya ardhi kila siku, akisema kuwa Serikali imechoshwa na malalamiko yanayojirudia kuhusu...
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa.
Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametaka Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini wawajibishwe kutokana na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katika vuguvugu la...
Hamjambo!
1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu.
2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo;
a) Watazania wengi...
Wakuu,
Kwenye mapito ya maisha unaweza kupitia mambo mengi ukifikiri imetokea tu kumbe Mungu anakuandaa na nyakati ngumu. Muogope mtu ambaye aliandaliwa na Mungu kuvuka nyakati ngumu.
Tunajua...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema chama hicho kitaanza rasmi operesheni ya mikutano ya hadhara nchi nzima mwezi huu, ikiwa ni sehemu ya mikakati yake...
Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu. kuajiri kwa kuhonga ajira, undugu, rushwa na wizi wa kura una mwisho wake.
Tuna serikali na chama cha CCM ambacho...
Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.
Ndizo zilizotoa mafunzo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.