PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 262
- 295
Nimemsikia msemaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa miongoni mwa agenda za kamati kuu wanayokutana ni pamoja na kujadili ripoti ya tume ya Jaji Mstaafu Chande, nimeshangaa sana kwa hoja zifuatazo
1. CDM mpaka leo hawatambui kama kuna uchaguzi ulifanyika Tanzania
2. CDM mpaka leo hawamtambui Mh Rais Samia Suluhu Hassan kama Rais halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
3. Tangu awali waliikataa na kuinyima uhalali tume iliyoundwa na Rais ambae wao hawamtambui na kusema hawatashirikiana nayo kwa namna yoyote
Kwa mtazamo huo wanapata wapi legitimacy ya kuijadili ripoti ambayo wao wanaita TAKATAKA? Na kuipa muda kabisa kwenye kamati kuu, chombo kinachotakiwa kujadili mambo ya kwenda mbele lakini badala yake kinakwenda kujadili mambo hewa?
Watu wenye mambo ya kitoto toto namna hii wanaweza kuendesha nchi kweli?
Au bamna agenda za kukutana wala hamna timetable ya mambo yenu?
Au ni watu wa matukio na kiki?
Utoto mtupu