PostGE2025 MwanaHALISI: Pamoja na Ripoti ya Tume kutoka, ICC Haikwepeki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,927
Reaction score
59,514
HHGhB35acAAMnK3.jpeg
 
Bado kuna watu wanasubiri ICC?

Hii ni kazi tunayoimaliza wenyewe hapahapa nyumbani

Kuna faida muhimu sana za sisi wenyewe kumaliza matatizo yanayotokana na janga hili kuliko kutegemea hao wa huko nje..

Moja ya sababu hizo ni kuondokana na mfumo mbovu unaofanya kazi ndani ya CCM.
 
Na,italeta heshima kubwa sana.
 
Kwamba huyu naye alikuwa jaji mkuu ni aibu kwa mhimili mzima wa Mahakama.

Huwa nashangaa wito unaotolewa mara kwa mara kuwa iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza mauaji ya halaiki ya Samia ya Oktoba, 2025.

Kama majaji wenyewe ndiyo kama hawa Juma na Chande ni hakuna tija kabisa, labda waagizwe majaji wenye weledi kutoka Malawi, Kenya, nk.
 
Kaka mkubwa Pascal Mayalla uwe unapitia kuchukua notes na huku mkuu
 
Kwamba huyu naye alikuwa jaji mkuu ni aibu kwa mhimili mzima wa Mahakama.

Huwa nashangaa wito unaotolewa mara kwa mara kuwa iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza mauaji ya halaiki ya Samia ya Oktoba, 2025.

Kama majaji wenyewe ndiyo kama hawa Juma na Chande ni hakuna tija kabisa, labda waagizwe majaji wenye weledi kutoka Malawi, Kenya, nk.
Aibu kubwa mnoo!Hayo majina yao tunayatafutia namna yatumike kiaibuaibu kama "kihiyo"!Samahani lakini kwa makwazo.
 
Bado kuna watu wanasubiri ICC?

Hii ni kazi tunayoimaliza wenyewe hapahapa nyumbani

Kuna faida muhimu sana za sisi wenyewe kumaliza matatizo yanayotokana na janga hili kuliko kutegemea hao wa huko nje..

Moja ya sababu hizo ni kuondokana na mfumo mbovu unaofanya kazi ndani ya CCM.
Ni kweli tunatakiwa tumalizane wenyewe ndani kwa ndani lkn mmoja akizidiwa kuna wakati hutakiwa kuomba msaada kutoka nje.
 
Bado kuna watu wanasubiri ICC?

Hii ni kazi tunayoimaliza wenyewe hapahapa nyumbani

Kuna faida muhimu sana za sisi wenyewe kumaliza matatizo yanayotokana na janga hili kuliko kutegemea hao wa huko nje..

Moja ya sababu hizo ni kuondokana na mfumo mbovu unaofanya kazi ndani ya CCM.
Unapokuwa unadili na KIKUNDI CHA KIGAIDI CHA KIDOLA.

Huwezi kukwepa NGUVU ZA NDANI na NJE.

Maana huwezi kupata HAKI mahakamani au kwa MAANDAMANO ya MAJI na MABANGO wakati MAGAIDI wanatumia SILAHA ZA KIVITA, tena GIZANI.
 
Back
Top Bottom