BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,372
- 8,108
Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali.
Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato yanayokatwa na Benki na Kampuni za Simu lakini wanailaumu Serikali inayojenga Vituo vya Afya na Madarasa na hivyo itafutwe namna ya kudhibiti mapato ya taasisi hizo na kupunguza gharama za makato.