Nape ni mwokozi wa kina nani?

Nape ni mwokozi wa kina nani?

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,907
Reaction score
40,560
Akitoa amri/ushauri kwa Serikali Jana kwenye kusanyiko la Kibunge jijini Dodoma, Naibu Spika wa Bunge hilo Zungu alipendekeza Serikali kuanza kukusanya kodi kwenye matumizi ya data.

Akiongea kwa uchungu Zungu alimuita Nape na kumwambia; "Wewe ndiye Mwokozi wetu" shirikiana na Waziri wa fedha muone namna sahihi ya kupata kodi kwenye matumizi ya data ambako kuna hela kuliko simu za maongezi.

Swali langu kwa mlio karibu naye au Wajuzi wengine wa Saikolojia, Nape kuambiwa ni "Mwokozi wetu" na Zungu alimaanisha nini kati ya haya?
1.Ni Mwokozi wetu Watanzania.
2.Ni Mwokozi wetu yaani wao kama CCM?
3.Ni Mwokozi wetu, yaani wao kama Wabunge?
 
Mods tafashali, ninaomba mniruhusu tujadiliane na wenzangu kuhusu "Wokovu" wa Nape bila kuunganisha na nyuzi nyingine za Tozo.
 
Magu akiwa hai walimwita Mungu/Mtakatifu/Jiwe cha ajabu saiz wanamwita mwenzake. sio fair
 
Sishangai, najua hata mashetani wana wokovu wao.
 
Akitoa amri/ushauri kwa Serikali Jana kwenye kusanyiko la Kibunge jijini Dodoma, Naibu Spika wa Bunge hilo Zungu alipendekeza Serikali kuanza kukusanya kodi kwenye matumizi ya data.

Akiongea kwa uchungu Zungu alimuita Nape na kumwambia; "Wewe ndiye Mwokozi wetu" shirikiana na Waziri wa fedha muone namna sahihi ya kupata kodi kwenye matumizi ya data ambako kuna hela kuliko simu za maongezi.

Swali langu kwa mlio karibu naye au Wajuzi wengine wa Saikolojia, Nape kuambiwa ni "Mwokozi wetu" na Zungu alimaanisha nini kati ya haya?
1.Ni Mwokozi wetu Watanzania.
2.Ni Mwokozi wetu yaani wao kama CCM?
3.Ni Mwokozi wetu, yaani wao kama Wabunge?
Huenda mwokozi wa wabunge. Huenda hawalipwi posho kwa wakati
 
Akiongea kwa uchungu Zungu alimuita Nape na kumwambia; "Wewe ndiye Mwokozi wetu" shirikiana na Waziri wa fedha muone namna sahihi ya kupata kodi kwenye matumizi ya data ambako kuna hela kuliko simu za maongezi.
Wenyewe kwa wenyewe wanajuana, sijawahi kuona jipya kwa wote wawili hata mara moja!
 
Back
Top Bottom