Naomba msamaha kwa maoni yangu kuhusu wa watu wenye asili ya Afrika kunyanyasika na kubaguliwa Ulaya na Marekani

Feb 13, 2013
46
27
Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu.

Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa Watu wa Africa sehemu mbalimbali ya dunia.
  1. Huku Africa nchi za Africa zinatakiwa kutowapia magoti nchi za Ulaya na Marekani, ndiyo maana nchi kama China hukuti wanabaguliwa na kunyanyaswa Ulaya
  2. Nchi za Afrika zinatakiwa kuweza zaidi na kuinuia uchumi na kuweza kutoa msaada kwa nchi zingine za Ulaya
  3. Viongozi wa Afrika waache wizi na kuwekeza kwa wananchi tu.
  4. Kupigania kupata kiti cha kudumu katika UN, maana kila bara linakuwa na veto power sio nchi chache tu kama US, CHINA, RUSSIA, FRANCE, BRITAIN.
LAKINI BILA HIVO TUTAKUWA NYUMA SIKU ZOTE NA KUONWA NI OMBAOMBA NA MTU DHAIFU ULIMWENGUNI

Asanteni
 
Waafrica wapumbavu sana. Tunashindwa kujiendeleza wenyewe tunasingizia mabeberu.

Ni sawa na ushindwe kupata maendeleo yako binafsi kwa uvivu wako usingizie et unarogwa na majirani au ndugu zako.

Ubaguzi uo upo na utaendelea kuwepo. Wana ndugu tu wanabaguaga. Hapa tanzania tu tunabagua wenyewe kwa wenyewe sasa tunaliliaje kutokubaguliwa wakati tumeshindwa kutobaguana wenyewe?
 
Hao weusi walioko huko ni wapumbavu na hawajielewi.......

Warudi nyumbani
 
Back
Top Bottom