Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini.
Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi.
Misingi ya kusimamia rasilimali za umma...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic...
Kwa Mara ya kwanza nachukua nafasi hii Kuipongeza sana CCM kwa kuzuia Mikutano ya siasa , ki ukweli hiki chama kingeruhusu Mikutano ya hadhara iendelee kama katiba ya nchi inavyotaka kingekufa...
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania...
Taarifa hii mpya imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika , Katika hotuba yake fupi aliyoitoa baada ya wananchi kufunga barabara wakimlazimisha kutoa neno wakati akielekea Rukwa ...
Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii...
Mkuu wa mkoa wa DSM Amos Makalla amesema Mkandarasi wa kujenga bwawa la Kidunda amepatikana
Makalla amesema Bwawa hilo likikamilika tatizo la Maji DSM litakuwa Historia
Source ITV habari
Uongozi wa CCM Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza umetembelea ofisi za Tanesco kupeleka kilio cha Wananchi kuhusu Kukatikakatika Umeme
Katibu wa CCM wilayani amesema wamepokelewa vizuri na majibu...
humu kwenye hili jukwaa ukiweka uzi unaoelezea mazuri ya ccm,hata nusu saa haukai unaondolewa.! watu wamesahau kwamba ccm ni chama cha siasa kama vingine ila ndicho kimeshika dola.wivu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema njaa iliyopitiliza, kutumika na kukosa dira ya masuala ya kitaifa ni sababu ya baadhi ya vyama vya upinzani kupinga msimamo uliotolewa na chama...
Sitoandika mengi hapa kwako Nape,
Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu...
Natanguliza salamu,
Jumuiya ya Afrika ya Mashariki iliundwa mwaka 1967 na kuvunjika mwaka 1977. Baada ya kuvunjika Jumuiya hii, Serikali ya Uingereza ilitoa fedha kwa ajili ya kuwalipa pensheni...
Hivi hawa ccm bajeti ya maji hutenga jero au?Shida za maji ziko pale pale kila mwaka wanasingizia ukame
Nchi ya ajabu sana hii bajeti ya kununua v8 za bilioni 600 kwa mwaka wanazo lakini za...
Naomba niende moja Kwa moja katika mada napenda kumpongeza Mhe. Rais hasa kitendo Cha kuwakumbuka na kuwapa mafao watumishi waliondolewa katka sakata zima la vyeti feki.
Ni jambo jema Kwani...
Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka...
Dar es Salaam, Tarehe 26/10/2022
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo yakijumuisha mikoa ya...
Watanzania ni wepesi wa kusahau, wanasahau mapema mithili ya maisha ya nzi Mwaka 2017 kulikuwa na ukame mkali hadi kupungua kwa chakula kabisa hakuna aliyethubutu kusema hata kidogo. Watanzania ni...
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.