Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi na uchukuzi leo bungeni, Mbunge wa Ukonga amesema licha ya Rais Samia kuonya mkandarasi mmoja kupewa tenda nyingi kwa wakati mmoja, Wizara husika iliipa...
6 Reactions
66 Replies
8K Views
Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto...
10 Reactions
86 Replies
6K Views
Kulijua hilo mpaka uwe na AKILI KUBWA Kukijua hicho Chama cha UPINZANI TANGANYIKA ni Rahisi sana Viorodheshe Vyama vyote Angalia MISUKOSUKO ya kila CHAMA iliyopitia na inayoendelea kupitia kutoka...
6 Reactions
12 Replies
828 Views
Kumekuwa na Juhudi nyingi kufuta Mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli,Jitihada hizi zinaonekana waziwazi hasa kutokutambua mchango wake kwenye Miradi aliyoiacha, Katika Daraja jipya la Wami...
2 Reactions
13 Replies
846 Views
Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa mfano Nassari alipewa burungutu la fedha akachimbe Visima yeye akadai kachimba ila havikutoa maji na muda mfupi baadae akahamia CCM Visima vile vya Chadema vingekuwa na mchango mkubwa wakati...
5 Reactions
17 Replies
974 Views
Ndugu zangu miaka kadhaa iliyopita hakika chama hiki kilijizolea umaarufu mkubwa Sana hasa kwa kundi la vijana, Vijana walijiona fahari Sana kujiita makamanda, vijana wengi hasa wa vyuo vikuu na...
3 Reactions
211 Replies
8K Views
Ni tarehe 26/08/2022 Andiko langu la pongezi na onto kwa kijana wetu mpendwa ambae binafis ni kijana mwenzake lakini lazima nimwoneshe yakuwa aliko teuliwa kwenda Kuna vichaka vya wachawi kwa...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji Chama hicho...
0 Reactions
6 Replies
862 Views
Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi. Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha...
9 Reactions
62 Replies
3K Views
Na WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
"JPM"aliongea na Wananchi Papo kwa Papo bila chenga! SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita. JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini? JPM...
30 Reactions
101 Replies
4K Views
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi. Mangungo akalaghaiwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Hata TANU ilipokuwa inapambana ili kupigania uhuru wa Tanganyika ilihakiiisha kuwa na ofisi na matawi kila ofisi kila mkoa na kila wilaya. ACT Wazalendo wameonyesha kuwa wakipewa dhamana ya kuwa...
2 Reactions
7 Replies
650 Views
Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi...
16 Reactions
74 Replies
4K Views
Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa...
18 Reactions
70 Replies
4K Views
Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Tanzania , Mkurugenzi , Bilionea na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfungwa wa Kisiasa , Joseph Mbilinyi , Ametangaza kwamba 2025 atarejea bungeni...
27 Reactions
77 Replies
5K Views
Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom